Nadhani hapo alikuwa anaelekea mirembeHebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo?
Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Jee huyu mwamuonaje? Mbona hizi ni dalili mbaya!
View attachment 3552492
Huyu ameingia huko tayari zikiwa zimechanganya, Sasa utachukua katua zipi wakati simba na fisi walimshindwa.Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo?
Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Kwanza Tumjue wakwanza ni Yupi au yule anayeumizwa na Vigere gereHebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo?
Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Inabidi akodi kundi la kumshangilia, atembee nalo kokote anakoenda
Katiba iko wazi kwa Rais, kwa Mwigulu sijui inasemaje,Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo?
Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Yaani fisadi linasema linachukiwa kwa kupambana na mafisadi..!
CCM hawatakubaliHebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo?
Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Katiba Ibara ya 37 na 40 inachukua mkondo wake anapigwa chini Makamu anaapishwa kushika kiti.Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo?
Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Huyo tayari ameshachanganyikiwa.Yaani fisadi linasema linachukiwa kwa kupambana na mafisadi..!
paranoid schizophrenia😁He is PARANOID.
Tunajua binadamu yeyote huwa anakuwa na wanaompenda na wasiompenda.
Ila huwa siyo tatizo until pale utakapoanza kusema kwa kinywa chako kwamba "Wanataka kuniua". Au "Fulani anataka kuniua". Au "Fulani anakuja kunichawia".
Sasa hapo ndipo huwa tunasema una PARANOIA.
Paranoia is an intense, irrational distrust of others, characterized by unfounded beliefs that people are plotting against, threatening, or trying to harm you. Symptoms include extreme defensiveness, hostility, difficulty trusting others, and interpreting benign remarks as threats. It is not a standalone diagnosis but a symptom of conditions like paranoid personality disorder, schizophrenia, or severe stress.