Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
ukweli msukuma mwenzangu limbu kazurumiwa malipo yake na zito kwa kazi aliyopewa mwanzo ya kuinadi act kwenye media pesa nyingi amelipwa mwigamba hata mimi nisingekubali kutumika kubeba gunia la misumari bure wamlipe chake awaachie chama chao
Ndio maana wengine baada ya Mwigamba kula hela yote peke yake wakaamua kuchukua sheria mkononi. Nadhani huyu ndio Katibu mkuu wa kwanza Tanzania wa chama kilichopata usajili kukwidwa hadharani na kuchapwa makofi kwa kutafuna fedha ya dili.
View attachment 237243