Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!

probably this is beyond your comprehension!

Tofauti kati ya ZZK & CHADEMA ilikuwa kubwa sana in such a way tafsiri ya political party ilikuwa disputed

You are among the best brains humu, nawa mikono na pangusa miguu
 
kazi ipo!! hapo limbu huna lako .ww ni mshika mapembe!! we mwachie kiti ZZK.ndipo kutakua shwari.
 
Wale wenye presha na chadema watasema amatumwa na chadema

Bahati nzuri mmejitambua vizuri mapema kabisa swali la kujiuliza kwanini mnatumika kukivuruga ACT?
 
chadema wanapenda sana kesi sasa wanamtumia limbu kuivuruga ACT ili wamkomoe zitto.
 
Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!

Ebu muone na huyu mjinga anachoandika. Uzi unahusu Kadawi Limbu kwenda mahakamani ila wewe unaota na kuhofia CHADEMA. Kama unampenda zitto mchukue tu nadhani hajaoa
 
Zitto ametoka kuwapeleka wenzake Mahakamani naye katiwa kabari kapelekwa mahakamani.
 
Mazombi yameanza kuamka, yana hangover ya madaraka mpaka basi!
 
chadema wanapenda sana kesi sasa wanamtumia limbu kuivuruga ACT ili wamkomoe zitto.
Chadema hawapendi kesi ndio maana katiba yao haitaki mwana chama aende mahakamani kabla haja exhaust internal remedies!
 
Bahati nzuri mmejitambua vizuri mapema kabisa swali la kujiuliza kwanini mnatumika kukivuruga ACT?

Na mtakoma kama hamna kifungu kama kile cha CHADEMA cha mwanachama yeyote anapokipeleka chama Mahakamani akashindwa kesi ana kuwa amejivua uwanachama kwa hiari yake mwenyewe.

Limbu hataondoka kwenye chama chenu mpaka afukuzwe kwa magongo,vinginevyo mtaendelea kutafunana ndani kwa ndani mpaka chama chenu kife.
 
Kwa hili wala hatofanikiwa kwani hakuna asojua kwamba ACT na ADC ni matawi la CCM, na hii ni ajenda maalum na mkakati wa kupunguza kura za upinzani
 
Back
Top Bottom