Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Zzk ana kimavi mwaka huu,na ajue ana maadui wengi,pamoja na wazalendo wa kweli waliovuja jasho na damu yao lazima atalipa!...ulipanda chati kwaajilili ya pesa na michango ya wanyonge toka chadema,
Nakuombea mabaya
 
Wasaliti ni wasaliti, watazidi kusalitiana daima.

Mabadiliko ni mpango wa Mungu, yeyote atakayekwenda kinyume nayo lazima laana imfike.

CHADEMA NGUVU YA MABADILIKO.

Ewe mungu endelea kuwaficha wasaliti ili waonekane kwa kila mpenda haki
 
Hakuna aliyesema isijadiliwe, ila comments zenu zinaonyesha hofu fulani mliyonayo juu ya chama hicho.

wewe ndiyo wa kwanza kuongelea habari za bavicha unadhani wachangiaji humu wote ni chadema? kwanini mtu akiwa tofauti na ccm awe bavicha? wapo wengine wenye mitizamo huru hivyo waacheni......
 
wewe ndiyo wa kwanza kuongelea habari za bavicha unadhani wachangiaji humu wote ni chadema? kwanini mtu akiwa tofauti na ccm awe bavicha? wapo wengine wenye mitizamo huru hivyo waacheni......
Wengi tunawajua kutokana na posts zenu za awali.
 
wachaga wakiona neno act wanaumia sna hata huku mtaan kitu chochote kikiwa na haka kaneno mchaga utamuona anaondoka hilo eneo
 
Mnavyoshabikia mabaya yaikute ACT inaonyesha wazi chama hiki ni tishio kwenu.
ACT iwe tishio kwa nani chama hakijui hata mwenyekiti ni nani, msitafute kisingizio mchawi wenu yuko humo humo soon ataonyesha makucha yake.
 
Back
Top Bottom