Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Basi hapa Utasikia kuna mkono wa chdm, ahhahhahaha. Siasa za bongo zina vituko balaa. Ishakuwa fashion kwenda mahakamani. Ngoja tuone
Si wana mjanja wao eti watafika

10487458_1526347150963334_726810112365869692_n.jpg
 
BAVICHA mnaiogopa sana ACT, sijui kwa nini.

Hilo la Chadema kuogopa ACT ni fikra tu, hakika hakuna ukweli hapo ila mimi nashangaa zaidi kwa nini ccm pamoja na kuwa wanaserikali wanaiogopa sana Chadema!hapa mimi ndio napata shida sana!
 
Naona cdm wamekua nyuma ya limbu wakishirikiana na mafisadu wa escrow
Kwa nguvu za mungu hawatashinda
 
CHAMA kipya cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) sasa kimetinga mahakamani.

Lucas Kadavi Limbu, mmoja wa waasisi na mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, amefungua shauri Na. 17 la mwaka 2015 dhidi ya Samson Mwigamba ambaye ni katibu mkuu wa muda na Peter Mwambuja na Masange M. Masange.

Katika shauri hilo la madai, lililofunguliwa Mahakama Kuu, kanda ya Dar es Salaam, Limbu anataka mahakama itoe amri ya kumzuia Mwigamba na “mawakala wake,” kujihusisha na chama hicho; kukiongelea katika vyombo vya habari na kutoa maelekezo yoyote yale kwa wanachama na viongozi wake.

Wadai wengine katika shauri hilo, ni naibu katibu mkuu (Bara); Grason Nyakarungu, katibu mwenezi na mwenyekiti wa vijana taifa; na Ramadhani Suleiman, makamu mwenyekiti (Zanzibar).

Kesi hii imetajwa kwa mara ya kwanza leo na imepangwa kusikilizwa tarehe 25 Machi mwaka huu, ambako mahakama itasikiliza maombi ya kuzuia mkutano mkuu wa chama.

Kabla ya kujiunga na ACT-Tanzania, Mwigamba alikuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoa wa Arsha. Alifukuzwa uanachama mwaka mmoja uliopita.

Ninakuwakikishia pale hakuna kesi ni mbwembwe tu kwa sbabu limbu anapata ungwaji mkono na viongozi wa cdm lakini wanamdanganya tu
Kila siku watashindwa tu
 
Zitto oooaaaa Hahaa mnafki mzandiki Hana pakuumbukia zaidi ya duniani mzittoooi
 
Chadema ni vizuri mkageukia kukinusuru chama chenu kinachokufa, mambo ya ACT hayawahusu .
 
Since mahakama na sehemu ya serikali ya ccm Limbu has a narrow chance to win na Zitto na kundi lake waliopo kazini kuhakikisha wanaisambaratisha CHADEMA kuendelea kupeta..... Let's keep watching..... Where is my popcorn bag!!

Prepare your cup of coffee or cappuccino; they have eyes but cannot see, ears that do not hear and hands
Which cannot serve.....Its a new error walikolalia wengine ndipo tulipo amkia...just leave them as they are they will drink from their own blood and will fight with their own people mpaka watakiri Jesus is
Lord
na kwa Mungu kuna nguvu za kweli. Shetani hajawahi kuwa mkweli wala kwi hamo ndani mwake....Yupo kupoteza, kuharibu panapojengwa na kuua mwisho wa siku anapogundua amejulikana!
 
Kwa hiyo CHADEMA imefungua kesi dhidi ya ACT? Ukiwa hamnazo, kila mara ukiulizwa utatoa jibu la swali ulilojitengenezea mwenyewe. Wenzio wanaongelea Limbu, wewe tayari unasikia masikio yako yanasikia CHADEMA!

Naona cdm wamekua nyuma ya limbu wakishirikiana na mafisadu wa escrow
Kwa nguvu za mungu hawatashinda
 
Back
Top Bottom