Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

DR MWELE NI MUHAINI KABISA.
Nyie masisiemu kwani ile kauli mbiu ya MKAPA ya ukweli na uwazi mlishaitupa chooni mkumbuke baba wa taifa ili marehemu JK NYERERE alishasema mficha maradhi kilio kitamuumbua kwa hiyo mnataka watanzania tufichwe fichwe vilio vije VITUUMBUE. wewe ndo MHAINI dk Malecela ni mtaalam, mtafiti, MZALENDO kaamua kututahadhalisha mungu ambariki malipo atayapata siku ya hukumu kwa muumba mtakimbiana siku hiyo
 
Yes, tafiti ni sahihi. Ila swala la ethics limemshinda.
Alichokosea ni audience aliyoenda kiutangazia hizo findings. Si kila findings zinakuwa disserminated direct kwenye media.
Mpaka sasa sielewi ni kwa nini alianzia kwenye media na issue sensitive kama hiyo.. for whose benefit?
Hiyo dissermination alitakiwa akaifanyie wizarani, wajadili na wataalamu wenzake kwanza. Suala la kuitangazia public outbreak ya disease si kazi ya NIMRI.
Mkuu hii kitu watu hawaielewi, na mbaya zaidi hawataki kuelimishwa kuhusu makosa aliyoyafanya Dr. Mwela. Nilipita instagram nikakuta Kaka yake, LeMutuz anakiri kuwa dada yake kachemka na hatua alizochukuliwa ni sahihi kabisa.
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Acha uongo madaraka matamu wewe maslahi ya kipindi cha pili
 
Kama ugonjwa upo, utaendelea kuwepo tengua na malalamiko haisaidii.
 
yaani red brigade mnavyoutangaza kwa furaha na kumtetea Mwele,ndio kipimo nilichotumia
Mkuu kabombe sio wote humu JF ni watoto na wanatumwa na vyama vya siasa.Sisi wengine ni watu wazima tusiofungamana na itikadi ya chama chochote.

Bandiko langu hili,lina kiashiria chochote kuwa ninafurahia jambo hili?Halafu umri wangu si wa kuwa BAVICHA au RED BRIGADE...Uwe na adabu
 
Politicians are very powerful maana ndio hao pekee wanaweza kukanusha utafiti by a mere unresearched statement na wakakubalika na umma. Halafu najiuliza WHO wamefanya lini utafiti mpaka kukanusha facts za utafiti papo Kwa papo.
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Kumbe tatizo kubwa ni kutoelewa kingereza kwa mtoa mada ndio kuliko mfanya aandike hayo madudu na upuuzi hapa. Hiyo taarifa ilivyozungumzwa na CCTV na ulichoandika ni sawa na kujiumbua uwezo wako kiongozi. Ila kama unalipwa endelea kuandika ujinga kwa kuwa wengine wanapenda kusikia huo ujinga.
 
mi naona NIMRI ingeachwa free na reserch zake zisiingiliwe hovyo hovyo na serikali kwasababu nimri ni kama kioo hivi kioo kikikuonesha unadomo kubwa utakivunja au kukanusha na ukataka kikuoneshe the way unapenda itakua haina maana ya kioo so hii tumbua tumbua ya hovyo inatakiwa inatakiwa isishangiliwe kama wanavyo fanya baadhi ya memba hadi wanamwita Dr Mwele mhaini kama mwele mhaini kwanini na nyinyi msifanye reserch kama Mwele na nyinyi mje ili kumprove wrong?
 
13a6062d9a6f74c5cdd8168fb1bc79e2.jpg


Ha ha ha! Hii picha inaongea mengi! Ummy hana amani kabisa na hao mabingwa wengine pia. Ni as if Ummy alishaamua hatma ya Mwele hayo mengine yaliyofuata baadaye ni formalities tu.
 
Mmezoea tafiti za Twaweza, kazi kusifia tu,

Haya basi Twaweza wanasema hakuna virus vya ZIKA 100%

Maana ukweli kwenu ni shubiri
Taratibu za kimataifa za kutoa taarifa za magonjwa makubwa ya mlipuko unazijua?
Hapa naona kizazi cha kenge kinalilia balaa kwa taifa.
 
Kumbe wakati dr.mwele alikuwa akitangaza taarifa za utafiti waziri ummy mwalimu alikuwepo pembeni sasa kwenye kanusho lake akasema wizara haikuwa na taarifa.siku hazigandi pole pole mungu atatuonyesha nani mkweli......
 
Ni kwasababu bongo tunatumia mihemko badala ya akili. Brazili mbona hawajaficha tatizo. Tena kwao ilikuwa just before michezo ya olympic, na bado hawakulaumiana, hawakukimbia tatizo, wameli- face head on, wamelishughulikia, na wameli-manage na michezo ya olympic ikaendelea kama kawa na watu wa mataifa wakafurika Brazile... Hii nchi ya ajabu sana! Viongozi oneni aibu, ni busara na hekima kama jambo huwezi unawaachia wengine... Khaa! Tuna kazi kweli kweli...
 
Sin
Minathani swala lilikuwa sio kumfukuza huyu dk swala lilikuwa nikuwabaini hao asilimia 15 iliwachunguzwe kama ivyo virusi ni vyenyewe kweli au la kukataa alafu iwe ni kweli ugonjwa upo ni sawa na kujua we ni muathirika huku unakataa wesio ila mficha magonjwa mauti umuumbua lazma watalamu watakuja kufanya utafiti labda wawazuie hapo tutajua ukweli tu,tushazoea mtu akisema ukweli anaonekana hafai huku wanasahau wakati tulionao dunia imekuwa kama kijiji sio swala la uwongo uwongo na kuleta siasa sehemu ambayo haitaji siasa

Kweli ilitakiwa utafiti wa hao walioonekana nao wapimwe upya.PIA MAMA NAYE ANATAKIWA ATUAMBIE NANI ALIKUWA NA MAMLAKA YA KUTANGAZA HII ZIKA
 
Back
Top Bottom