Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

ZIKA si mara ya kwanza kuripotiwa Tanzania, nashindwa kuelewa ugumu wa hii issue ktk kuelewana unatokea wapi!
Mkuu taarifa kama hizi au za ughaidi kwa wenzetu walioendelea na wajanja hasa ktk zama hizi za ushindani wa kibiashara huwa zinafichwa sana na serikali hasa machoni na masikioni mwa media za kimataifa hadi hali iwe mbaya. Ndio maana Kenya haisifiki sana habari ya ughaidi ili kulinda biashara ya utalii au ili kukwepa kupoteza wawekezaji wageni.
 
Ajabu sana, tena unajikurupua kwenye media kuutangazia ulimwengu jambo zito kama hili?
Je uzalendo ni kuwaacha watanzania wafe na huo ugonjwa?siasa katika maisha ya watanzania haifai,huyu mama ni shujaaa
 
Hivi Dr. Mwele ni kichaa? Kwa kumtumbua na kutuletea Ummy kukanusha taarifa za kiutafiti inafuta ukweli wa utafiti huo? Hivi uzalendo ni nini? Watanzania tuna haja ya kubadilika na kuanza kuukabili ukweli hizi siasa katika mambo ya msingi zinatupeleka kubaya.
 
Huyu Dk ni shujaa wa Tanzania,msilete siasa katika maisha ya watanzania,chochote kinachofanywa ni siri ujue kina ubaya....
Kuna ubaya mkubwa kuitangaza BBC habari ile kuliko kuificha trust me. Kule kanda za kitalii km kaskazini wataathirika sana na taarifa hizi.
 
Yes, tafiti ni sahihi. Ila swala la ethics limemshinda.
Alichokosea ni audience aliyoenda kiutangazia hizo findings. Si kila findings zinakuwa disserminated direct kwenye media.
Mpaka sasa sielewi ni kwa nini alianzia kwenye media na issue sensitive kama hiyo.. for whose benefit?
Hiyo dissermination alitakiwa akaifanyie wizarani, wajadili na wataalamu wenzake kwanza. Suala la kuitangazia public outbreak ya disease si kazi ya NIMRI.
Umejibu vizuri sana..

Tatizo kila mtu anataka awe "msemaji"wa wizara,au idara au kitengo alichopo.

Watu waheshimu maadili ya taaluma zao.
 
Hivi Dr. Mwele ni kichaa? Kwa kumtumbua na kutuletea Ummy kukanusha taarifa za kiutafiti inafuta ukweli wa utafiti huo? Hivi uzalendo ni nini? Watanzania tuna haja ya kubadilika na kuanza kuukabili ukweli hizi siasa katika mambo ya msingi zinatupeleka kubaya.
fc3717d1bb29feda4fcbcb6ab471efca.jpg
 
Hii stori ya huyu mama kutumbuliwa inanikumbusha kisa cha jamaa mmoja alienda kupima ngoma, majibu yalipotolewa na daktari kuonyesha ana ngoma jamaa alimshindilia ngumi za hatari yule daktari....lakini ngumi hizo hazikuondoa ukweli wa jamaa kuwa na ngoma
 
kuna watu nina wasiwasi nao kama wamefika hata kidato cha nne..maana uchangiaji wao katika masuala serious ni wa kipumbavu kabasa!!mfano mzuri,ni lupyee!!jaribuni kuangalia michango yake katika post zenye mstakabali mpana wa nchi..
 
Kuna ubaya mkubwa kuitangaza BBC habari ile kuliko kuificha trust me. Kule kanda za kitalii km kaskazini wataathirika sana na taarifa hizi.
Hamna lolote ni woga tu wa wanasiasa wa Tanzania,Brazili ni nchi ya mwanzo kutangaza huo ugonjwa lakini mbona ilifanyika michezo ya kimataifa kule brazili wakati Dunia ilikuwa inajua kuwa hiyo nchi ina huo ugonjwa..

Kwahiyo wewe unaona bora watoto wa Tanzania wazaliwe na huyo ugonjwa,kuliko kuutangaza na kupata kinga na tiba kwa msaada wa kimataifa..

Mbona nchi za Afrika magharibi wailiitangaza ibola,,ni utamaduni na mila za kitanzania kuwa woga wa maisha,,,

Huyu mama ni shujaa
 
Muhaini wewe uliyejificha nyuma ya keyboard hujui hata hiyo research ya zika inafanyikaje!


Bora hata yeye wa CBG, hivi wewe HKL unajua hata data collection, achilia mbali hypothesis na mengine.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nimechoka kujibishana na malofa na wapumbavu kama nyie Findings za Dr Mwele zilikuwa ni preminaly na kamwe haiwezekani kutumiwa kufanya hitimisho...hizi ni findings za mwanzo kabisa kimsingi ilikuwa bado kufanya hitimisho na hata hivyo ni wizara kwa kushirikiana na WHO ndio wenye uwezo wa kufanya hitimisho baada ya kupitia kwa kina uchunguzi na si kwa preminaly Findings kama za Dr Mwele.... Dr Mwele alitangaza kuwepo kwa ugonjwa wa Zika wakati hata ukisoma report yake hakuna hata picha au watu ambao anaweza kuwaleta na kuwaonesha kuwa hawa wana Zika..
Dr Mwele ni muhaini kabisa na ataligharimu taifa.

Unajua maana ya huaini Tuanzie hapo kwanza
 
Dalili za Zika,

Kuumwa na kichwa kwa sana,

Misuli na viungo vya mwili kuuma kwa sana,

na Dalili Muhimu, macho ya kiini cheupe kuwa chekundu,

na kuwa na Muwasho na vipele kwenye ngozi..

hii virus inakaa kwenye mwili kwa muda wa wiki mbili, kwa wale wajawazito dalili kuonekana kitakwimu, ni mmoja kati ya wanne zinaonyesha, kwa hio kwa wale wanaoishi kando ya ziwa ni muhimu kupima

Jinsi gani ya kuitreat, haina dawa wala chanjo, lakini ni virus inatoka yenyewe mwilini...

Kunywa maji kwa wingi,

pumzika sana

na piga paracetamol, hakuna specific drug ya kuondoa zika, lakini kama nilivyosema inachukua wiki mbili ku clear,

na kama unacare na mtu aliyepatwa na zika,

ukimuhudimia mgonjwa, kama matapishi, au kufuta mikojo, au maji maji yoyote, nawa na sabuni, na safisha ile sehemu,

ukitaka kujua zaidi na wengine kama kuna health professional wastep in watusaidie na lishe gani ya kumsaidia mtoto aliyepatwa na Zika...

kuelewa hili gonjwa zaidi pitia hapa

ukitaka kujua inagharimu kiasi gani kupata after care ya mtoto aliyezaliwa na Zika pitia hapa yaani ndio utazimia, Dollar Millioni 4 yaani mpaka anakua mkubwa, kama anaishi US.

kwa hio tunaishauri serikali ilipige vita hili gongwa na campain zianze most affected yaani mikoa kando ya Ziwa, therefore in business terms less cost, na kuwapa wananchi elimu, juu ya hili gonjwa, na kuweza kutumia a local repellant, kama mitishamba, vyandarua, na budget ya kuondoa madimbwi na kuua mbu, thats a penny cost wise, uki compare na after care cost..

na vile vile, zipatikane kits za kupimia huu ugonjwa kama Malaria, training health professionals wale wale ambao wako huko mikoa ya kando ya ziwa, ili kuwapa elimu ya ziada, juu ya hili, kwa sababu after care we already lost a battle before it began...

ukipita pale ferry, utaona watoto watatu wanaomba na mama yao, Mungu awape unafuu wa maisha na wepesi! ambao utaona dalili zote kwamba wamepatwa na hili janga...
 
Tafiti zetu zinaishia kwenye makabrasha wewe kakwambiea nani useme??
 
Back
Top Bottom