Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.

Maslahi ya kuficha ugonjwa watu waathirike kisa tutakosa watalii

Katika tembea tembea yako...kama unatembeagatembeaga huko vijijini lakini...hajawai kuona watoto/watu kama walio hapa kwenye picha??

15535169_914307408699411_7542428386749054976_n.jpg
 
13a6062d9a6f74c5cdd8168fb1bc79e2.jpg

Ha ha ha! Hii picha inaongea mengi! Ummy hana amani kabisa na hao mabingwa wengine pia. Ni as if Ummy alishaamua hatma ya Mwele hayo mengine yaliyofuata baadaye ni formalities tu.
Kama hawa wote walikuwa pamoja wakati report inatangazwa na Mwela basi wslikubali atangaze maana kabla ya kutangaza wote hawa walishaiona report na kuijadili na pengine walikubaliana kuwaita waandishi wa habari. Sasa, ni kwanini mtaalamu Malecela anakuwa muhanga. Hapa naomba tu kuelimishwa kuhusu sababu za kutumbuliwa.
 
Kumbe tatizo kubwa ni kutoelewa kingereza kwa mtoa mada ndio kuliko mfanya aandike hayo madudu na upuuzi hapa. Hiyo taarifa ilivyozungumzwa na CCTV na ulichoandika ni sawa na kujiumbua uwezo wako kiongozi. Ila kama unalipwa endelea kuandika ujinga kwa kuwa wengine wanapenda kusikia huo ujinga.
Sijui mkuu Mambaku wewe ni mwalimu wangu wa Kiingereza?Kwani mimi nimeandika nini ambacho ni tofauti na hapa?
Sasa kama CCTV wanasema katika 80,watoto 30 wanaonekana kuwa na virusi vya Zika,haileti mshituko kwa wageni na Taifa??
 
Sijui lengo lake lilikua nini
Lengo lake lilikuwa kutujulisha sisi umma na kuijulisha dunia kwamba Zika inawagonga raia hohe hae wa Tanganyika huku ninyi mnaojifanya kuwamiliki raia wale, mkichekelea na mkilichukulia swala hili kimasikhara na kisiasa.Yawapasa siku za mwisho Mungu awakaange kama vitumbua maana mmeshiba sana na kudharau kila kitu.
 
Maslahi ya kuficha ugonjwa watu waathirike kisa tutakosa walalii.

Katika tembea tembea yako...kama unatembeagatembeaga huko vijijini lakini...hajawai kuna watoto/watu kama walio hapa kwenye picha??

View attachment 447690
Mkuu hicho kijiji kiko wapi. Kuza hiyo picha hapo juu kulia tujue kijiji gani bongo kinatumia Western America electrical plugs? We all deserve correct information for our healthy welfare. Siasa pembeni.
 
Kama hawa wote walikuwa pamoja wakati report inatangazwa na Mwela basi wslikubali atangaze maana kabla ya kutangaza wote hawa walishaiona report na kuijadili na pengine walikubaliana kuwaita waandishi wa habari. Sasa, ni kwanini mtaalamu Malecela anakuwa muhanga. Hapa naomba tu kuelimishwa kuhusu sababu za kutumbuliwa.

Ukiangalia hii picha kwa makini moja kwa moja utagundua kuna mtu alikuwa anatafutwa..

Ila watanzania jamani tumezidisha unafiki...khaaaa...kumbe Ummy na mganga Mkuu walikuwepo??

Ila Jana nilivomuangalia mganga Mkuu akipingana na Dr Mwele kusema ukweli ubongo wake na kinywa vilikuwa havina ushirikiano Kabisa wakati anaongea...alitumwa tu ma yeye akatumika...
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
uzalendo ni kutotangaza matokeo ya tafiti.Mbona huna hata idea ya unachoongelea.
Yaaani, eti watu wanamtetea!! Sio mzalendo kabisa huyo mama
 
Hata kama kuna dalili za Virus wa ZIKA ndo utangaze wewe?

huyu Dr. Mwele sijui la wapi hili?

halafu, linakomaa kwenye media eti, "Tukubali tusikubali, ZIKA ipo Tanzania"... hivi hiyo ni language ya kutoa taarifa kweli?

Yaan sijui likoje, Sasa kapata faida gani kutuchafulia nchi yetu?

Hivi kama mkeo ana tatizo au mumeo ana tatizo, utaanza kulitangaza tu hovyo hovyo bila mashauriano ya ndani?
 
yaani red brigade mnavyoutangaza kwa furaha na kumtetea Mwele,ndio kipimo nilichotumia
Yeye katoa matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi aliyokua anaiongoza sasa nyie mnapinga tafiti kwa maneno? Mkuu kabombe umekunywa pombe ya wapi wewe!
 
Zika iligunduliwa Tanzania/Tanganyika tangu mwaka 1959.
Historia na research findings mbalimbali zinaonyesha hivyo
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
kwa hiyo watalii watokuja tena?
 
Mkuu hicho kijiji kiko wapi. Kuza hiyo picha hapo juu kulia tujue kijiji gani bongo kinatumia Western America electrical plugs? We all deserve correct information for our healthy welfare. Siasa pembeni.

Hujanielewa Mkuu nimeuliza tu kama amewai kuna watoto kama hao Tanzania???

Ila kwa wale waliozaliwa zamani kidogo nakumbuka kwenye miaka ya tisini mwishoni au 2000 mwanzoni kuna mama mmoja alikujaga na watoto kama hao dar akitokea Songea nadhani kuja kuwaombea watoto wake msaada.. Nakumbuka alienda mpaka radio one na madai yake walikuwa eti walikuwa anaota anafanya mapenzi na mtu (sio mumewe) baadae anajikuta ana ujauzito kisha anajifungua watoto kama hao..

Alikuja na watoto watatu na mm nilibahatika kuwaona akiwa maeneo ya Ubungo terminal akiwaombea msaada kwa wasamaria wema.

Watoto wale maumbile yao ya vichwa yalikuwa kama hao niliowaweka hapo juu..

Kuna mdau mmoja huku kasema kuna sehemu iringa aliwaona watoto wenye vichwa kama hvo kasema eneo walipo linaitwa bandakavu..
 
Yeye katoa matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi aliyokua anaiongoza sasa nyie mnapinga tafiti kwa maneno? Mkuu kabombe umekunywa pombe ya wapi wewe!
mkuu Pombe ni jina la mtu kuwa na tahadhani sana km ugonjwa wa zika
 
Back
Top Bottom