Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

yaani Dr. Mwele alichokua amekuja kutujulisha ni kuweka stamp tu kwenye barua na kupost, hii kitu ipo prior 2015, inajieleza wazi, tunatakiwa tutoke kwenye siasa tusaidiane kuelimishane the after effects na prevention measures(ambayo inafall under Malaria preventions to some extent)

na AFTER CARE ya watoto, muhimu Sana ndugu zangu.....
 
Aaaaahaaaaa mjifunze kujikita kwenye ukweli, viashiria vipo au havipo? Kama havipo tafiti gani uliyotumia kupinga tafiti tolevu.
 
Research results can be nullified by research results too. Kusema uhaini mtu kutoa majibu ya research huu ni upumbavu hali ya juu.
Ni wajinga pekee wanaomuona Dr mwele mhaini kwani amelisaidia Taifa kukaa kwa tahadhali kujilinda na mbu nk
 
Chadema wamefanikiwa sana kuichafua Tanzania
Kuichafua vipi? Yaani Nchi kuishi na uchafu maradhi unataka watu walee wagonjwa? Acha hizo kazi ya upinzani ni kukosoa ubovu wa serikali si kuchafuana huko huo ni Ukweli na siku zote Ukweli unauma ndiyo maana umekomalia Nchi kuchafuliwa kwa matendo yake yenyewe.
 
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Maslahi yapi
 
Ndio kosa la Dr Malecela hili,kutumbuliwa ilikuwa haiepukiki
Angefungwa tu. Taarifa kama hizi hazitolewi kienyeji tena ktk vyombo vya habari vya kimataifa bila kuthibishwa na wizara pamoja na WHO pia na cabinet ya mawaziri. Madhara yake makubwa mno. Tutapoteza watalii vibaya sana na wenzetu wa jirani watatupiga bao. Mama ameamua kufanya sabotage ya uchumi wetu. Kimbelembele kimezidi ni misifa ya kutaka aonekane chini ya uongozi wake wamepata mafanikio makubwa.
 
ni rahisi kukwepa majukumu,lakin si rahisi kukwepa matokeo ya ukwepaji wa majukumu..
 
Angefungwa tu. Taarifa kama hizi hazitolewi kienyeji tena ktk vyombo vya habari vya kimataifa bila kuthibishwa na wizara pamoja na WHO pia na cabinet ya mawaziri. Madhara yake makubwa mno. Tutapoteza watalii vibaya sana na wenzetu wa jirani watatupiga bao. Mama ameamua kufanya sabotage ya uchumi wetu. Kimbelembele kimezidi ni misifa ya kutaka aonekane chini ya uongozi wake wamepata mafanikio makubwa.
ZIKA si mara ya kwanza kuripotiwa Tanzania, nashindwa kuelewa ugumu wa hii issue ktk kuelewana unatokea wapi!
 
Attachments

  • upload_2016-12-18_8-29-11-2.png
    upload_2016-12-18_8-29-11-2.png
    64 KB · Views: 32
Dr Mwele ni Mzalendo wa viwango vyote.

Mungu aendelee kukulinda Dr Mwele...

Matokeo ya utafiti hutolewa na aliefanya utafiti and not otherwise.

Mmeshazoea zile tafiti zenu za kijinga zinazotengenezwa na vile vitengo vyenu TWAWEZA na REDET..!!
Yes, tafiti ni sahihi. Ila swala la ethics limemshinda.
Alichokosea ni audience aliyoenda kiutangazia hizo findings. Si kila findings zinakuwa disserminated direct kwenye media.
Mpaka sasa sielewi ni kwa nini alianzia kwenye media na issue sensitive kama hiyo.. for whose benefit?
Hiyo dissermination alitakiwa akaifanyie wizarani, wajadili na wataalamu wenzake kwanza. Suala la kuitangazia public outbreak ya disease si kazi ya NIMRI.
Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
 
Tanzania Kuna Zika Siku Nyingi Tu. Ndiyo Nchi Ina Kila Kitu Lkn Tunanuka Umaskini.

Profesa Anaishi Kutegemea Ajira Sawa Na Darasa La Saba.
Rejea: Dr Rutengwe Alipotumbuliwa Na Prof Baregu Kipindi Ananyimwa Kuongezewa Mkataba Udsm

Kama Siyo Zika Basi Tuna Laana
 
Back
Top Bottom