Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,974
- 218,884
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.
Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.
Hivi ni nini kimetokea?
Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.
Hivi ni nini kimetokea?