Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Huyu Kibatala mzoefu,Mallya alikuwa anapelekwa pelekwa tu na polisi.Wakiambiwa leta hiki wanapeleka.Kesi ilikuwa kumtukana Pengo hayo mengine yanatoka wapi?Sasa kwa kibatala polisi watatia adabu.Vifungu kwa vifungu tu.

Mallya ni chambo iliyowavuta ufukweni, Kibatala anawachokonoa
Nyaucho anakuja kumaliza
stay tuned

Pia tafsiri nyingine ya Ku deal na Gwajima ni kama kudeal na CCT na TEC waliotoa tamko
 
Hiyo barua isiwatishe sana watu msiojua sheria kwa kifupi jeshi la polisi limepewa mamlaka makubwa ya kuchunguza jambo lolote ambalo wanahisi ni la kijinai kupitia sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai kuna vifungi kadhaa vinavyoainisha nguvu zao za kisheria jambo ambalo alipaswa kuwataka polisi ni kwamba mteja wake anakabiliwa na kosa lipi? hapo ndio pa kuanzia na huku akihakikisha kila hatua ya mahojiano anakuwa na mteja wake.

Tutajua nguvu yao kisheria wakishajibu vifungu vya hyo barua maana ata mimi nimesomea sheria.
 
Wala usimuingize Pengo, Pengo hajamshitaki mtu yeyote juu ya hilo, ni Kova na Abubakari wake wanajuana wenyewe huko.

Naona polisi wanataka kuchukua na majukumu ya TRA kufuatilia kama mapato na matumizi ya Gwajima yanameet vigezo vya kisheria.Sitarajii polisi kujibu barua hiyo maana watajifunga.

Natarajia Kamanda Kova kuonywa na IGP juu ya mikanganyiko hii isiyozingatia uweledi

Mkuu hii issue nyuma kuna waziri mkubwa ndo anaforce haya yote hivyo wakuingilia ni mkuu kuliko wote ingawa saa ipo na saa yaja wote wataanguka na kusaga ngano.mark my words.
 
Kwa mfano wasipoandika wakati alikubali kuwakilisha docs hizo Na ukumbuke docs hizo za usajili ni mali za serikali wanaweza kuziomba na kuzikagua wakati wowote. Mimi ningekuwa gwajima kama ninazo hizo docs ningepeleka tu kuliko kuleta ligi. Serikali inamkono mrefu. Anyway let us may be they want to set a precedence!!

Usiwe muoga hivyo, serikali inaogozwa kwa sheria na katiba, hawana uwezo wa kufanya nje ya sheria na katiba.Ndio maana mwanasheria kauliza waseme hayo wanayotaka wametumia sheria ipi ili kujiridhisha kama kweli sheria hiyo inawapa mamlaka hayo.Wasipojibu basi hatapeleka hizo document.Na polisi wakitaka watampeleka mahakaman ambako mahakamani hoja za barua hii itabidi polisi wazijibu kabla ya mengine
 
ndiyo maana polisi wametakiwa waandike kwa maandishi wanachohitaji na kifungu kipi cha sheria wametumia.

Mkuu patamu sana hapo,tunasubiri majibu ya barua yao,wamezoea kuwasakizia vijana wa mtaani bang kwenye mifuko sasa movie ndo inaanza.
 
Polisi wangeweza kudai hata cheti cha ndoa nadhani hilo walisahau tuu
 
Polisi wa Tanzania wanampa points za bure kabisa Wakili Malya na Kibatala ktk CV yake

Gwajima anakwenda kupata zuio la Mahakama within a minutes!Nimeandikiwa barua kuhojiwa kwa kesi ya kupiga mke wangu lkn nahojiwa muda wote kuhusu nyumba yangu na kibaya zaidi natakiwa nilete hati za nyumba yangu ya Kyela sijui waifanye nn!

Polisi wa TZ bure kabisa wanatutia tu aibu
 
Polisi wa Tanzania wanampa points za bure kabisa Wakili Malya na Kibatala ktk CV yake

Gwajima anakwenda kupata zuio la Mahakama within a minutes!Nimeandikiwa barua kuhojiwa kwa kesi ya kupiga mke wangu lkn nahojiwa muda wote kuhusu nyumba yangu na kibaya zaidi natakiwa nilete hati za nyumba yangu ya Kyela sijui waifanye nn!

Polisi wa TZ bure kabisa wanatutia tu aibu

Polisi wa Tanzania wanashangaza sana. Leo wametangaza tochi bila kusema tochi ziliwekwa kwa sababu gani au sheria ipi! Katika hali ya kawaida wametoka nje ya grounds kabisa ya wito wao kwa Gwajima.
 
Tuwe wakweli tu, wanalazimisha mambo. Hili kama wakiamua kujitia busara basi wataweza ila wakiamua liende kama wanavyotaka basi litaenda hivyo ila mioyoni mwa werevu litabaki.
 
Nadhani watamuua kibatala siku sio nyingi kwa style ya hii nchi, wajinga hawataki kufanya arguments na kujenga hoja za msingi, wao wana akili ndogo sana pamoja wana kila kitu, sijui kwa nini wapumbavu ndio wanapewa hii nchi waiongoze.
 
Inasikitisha san na ni aibu kwa taifa lenye watu wenye weledi wa hali ya juu wa taifa hili halafu wajinga tu ndio wanadetermine fate ya taifa hili
 
Pengo hana wafuasi.Wakatoliki tunaongozwa na taratibu za kanisa sio matakwa ya mtu.
Pengo nje ya kofia,fimbo na mavazi mengine hana ufuasi wowote.
Hamna mtu wa kumpigania Pengo kama Gwajima.

Simu yangu haioneshi sehemu ya kuweka Like... I reserve it for you!

Wakatoliki hatuna ufuasi kwa kardinali bali kanisa!!
 
Kisheria sijui iyo hati itaaletwa chini ya sheria zipi maana gwajima kadaiwa vitu nyaraka kama 10 sasa itabidi aandikiwe hati kama 7 au 10 ivi...kwa kuwa hati aridhi kanisa haiko bound na sheria inayolinda ununuzi wa chops, pia passport , pia usajili wa kanisa, bodi wadhamini wa kanisa!! Etc etc ...sasa mamlaka itabidi itoe general certificate ambapo pia itoe generally bila kutaja sheria yoyote!! Generally watakuwa within demands za kibatala but specifically itakuwa inamaswali kisheria!!
 
Back
Top Bottom