Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Mbona hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Au Gwajima ana uhusiano gani na CHADEMA?

Mkuu kwani Kibatala ni mmisionari? Kwamba yeye anahangaika kuwatafuta akina Gwajima na Ponda wanaoonewa? Pesa yako tu. Kama umeshindwa kumchangia Ponda unadhani nani atamtetea?
 
kuna watu wanajidanganya eti picha ndo inaanza sidhan kama mko timamu vichwan kaz inaisha muda si mrefu wala msisumbue vichwa vyenu kufikiria hilo,gwajima ni mtu mdogo sana

Unajua ndio shida ya watanzania. Kuna mtu mdogo na mtu mkubwa. Kuna watu walio juu ya sheria na walio chini ya sheria. Simfagilii Gwajima, lakini pia siwafagilii polisi au watu wanaojiona wako juu ya sheria. Hakuna mtu mdogo au mkubwa. Sheria zifanye kazi pande zote bila kuoneana.
 
documents unapaswa kuleta tu endapo zinahusiana na kesi ya msingi.

Kesi ya msingi ndio ya kifungu kipi kile? Maana nahisi wataka kuwasaidia polisi kuandika barua.
 
Mbona hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Au Gwajima ana uhusiano gani na CHADEMA?

Basi ungejitokeza wewe, akili ya leo ni tofauti na ya Jana, mambo ya msingi kwa polisi si yaoni hata kidogo bali kuna harufu ya kutengeneza udhalimu, hapa wameingia chuo cha kike tusubiri tuone mpaka mwisho wake.
 
angeenda na tundu lisu hapo, CHADEMA INGEPAISHWA SANA tena wakati huu wa uchaguzi. kuna watu wengi sana wana hasira sana na ccm kuona inamshambulia sana huyu mchungaji wao wakati mafisadi wameachwa wanaingia hadi bungeni. kibatala namwamini ni mzuri sana lakini kwaajili ya publicity ya chadema, tundu lisu pia atie timu ili walokole wooote waikatae ccm mwaka huu. movie huko makanisani ndio iko hivyo kwamba walokole mwaka hu wataipigia chadema au cuf au chama chochote cha upinzani lakini sio sisiemu. wafuasi wa pengo peke yake ndio wataipigia ccm.

+ na wale wa BAKWATA!
 
Namkubali wakili Kibatala, namkubali Pastor Gwajima, ila sina shaka Na mamlaka ya Police kudai nyaraka Wakati wa mahojiano hata Kama nyaraka hizo Na nje Na mada ulioitiwa, kwa sababu.
Wakati wa mahojiano kwa tuhuma za matusi hadharani, police inapaswa wajiridhishe Na Uraia wako, umiliki wako, Kama Ni wa halali ama la!!!! Its not about searching, its about VERIFICATION. sheria inayowapa mamlaka ya kuhoji, inawapa mamlaka ya kuomba Documents zozote zinazomuhusu Muhusika,,,kuhusu mambo lolote ambalo Police wana mashaka nalo kuhusu muhusika, So kibatala nahisi amekurupuka, Na akilichukuwa vibaya Jambo hili atamiathiri Mteja wake.
 
Kisheria sijui iyo hati itaaletwa chini ya sheria zipi maana gwajima kadaiwa vitu nyaraka kama 10 sasa itabidi aandikiwe hati kama 7 au 10 ivi...kwa kuwa hati aridhi kanisa haiko bound na sheria inayolinda ununuzi wa chops, pia passport , pia usajili wa kanisa, bodi wadhamini wa kanisa!! Etc etc ...sasa mamlaka itabidi itoe general certificate ambapo pia itoe generally bila kutaja sheria yoyote!! Generally watakuwa within demands za kibatala but specifically itakuwa inamaswali kisheria!!

Nafikiri wewe ni mwanasheria maana lugha uliyotumia hapa nimetoka kapa kidogo kulinganisha na comments zoote hapa nilizozipitia.
 
kibatali anawafurahisha akina gwajima kesi hiyo ipo kwenye upelelezi.
ni lazima apeleke vielelezo vyake kama alivyo agizwa na polisi akishapeleka wataenda mahakamani.
Polisi wanauwezo kumshitaki kibatali kwa kuzuia polisi kufanya uchunguzi
 
Namkubali wakili Kibatala, namkubali Pastor Gwajima, ila sina shaka Na mamlaka ya Police kudai nyaraka Wakati wa mahojiano hata Kama nyaraka hizo Na nje Na mada ulioitiwa, kwa sababu.
Wakati wa mahojiano kwa tuhuma za matusi hadharani, police inapaswa wajiridhishe Na Uraia wako, umiliki wako, Kama Ni wa halali ama la!!!! Its not about searching, its about VERIFICATION. sheria inayowapa mamlaka ya kuhoji, inawapa mamlaka ya kuomba Documents zozote zinazomuhusu Muhusika,,,kuhusu mambo lolote ambalo Police wana mashaka nalo kuhusu muhusika, So kibatala nahisi amekurupuka, Na akilichukuwa vibaya Jambo hili atamiathiri Mteja wake.

Unaposema amekurupuka una uhakika na hilo na umesoma maandiko yake vizuri yaliyowekwa hapo juu...We pia ni mjuvi wa sheria au ni layman tu wa sheria? Kitu ninachoona hawa jamaa kuna mapungufu flani wameyaona kwa kumuhitaji Gwajima aje na hizo Docs na ndo maana nafikiri kwa kuliona hilo wenyewe hawakutoa maandishi yoyote kwake kwamba wamehitaji hili na hili kimaandishi,je unafikiri kwa nini police hawakutoa hiyo order katika maandishi??????
 
Namkubali wakili Kibatala, namkubali Pastor Gwajima, ila sina shaka Na mamlaka ya Police kudai nyaraka Wakati wa mahojiano hata Kama nyaraka hizo Na nje Na mada ulioitiwa, kwa sababu.
Wakati wa mahojiano kwa tuhuma za matusi hadharani, police inapaswa wajiridhishe Na Uraia wako, umiliki wako, Kama Ni wa halali ama la!!!! Its not about searching, its about VERIFICATION. sheria inayowapa mamlaka ya kuhoji, inawapa mamlaka ya kuomba Documents zozote zinazomuhusu Muhusika,,,kuhusu mambo lolote ambalo Police wana mashaka nalo kuhusu muhusika, So kibatala nahisi amekurupuka, Na akilichukuwa vibaya Jambo hili atamiathiri Mteja wake.

Umesoma sheria wewe?Tupe vifungu vinavyolipa jeshi la polisi mandate ya kudai hadi miundo ya kanisa.Andika hapa mimi nivipitie sasa hivi na kufafanua.
 
kibatali anawafurahisha akina gwajima kesi hiyo ipo kwenye upelelezi.
ni lazima apeleke vielelezo vyake kama alivyo agizwa na polisi akishapeleka wataenda mahakamani.
Polisi wanauwezo kumshitaki kibatali kwa kuzuia polisi kufanya uchunguzi

Bila shaka unaotea ,sheria hauzijui wewe.weka argument kwa vifungu
 
hivi hamna wataalamu wa code of conducting interrogation and investigation humu?
 
Utamu upo hapo. Peter Kibatala ni kichwa cha sheria pale Mzumbe University walimpika vizuri huyu jamaa na hapa Pengo na Kova wake lazima walale mbele

Kibatala hamna kitu hii kesi atapinduka kichwa chini miguu juu.Hivi Polisi Traffic akikuomba umwonyeshe leseni yako huwa katumia kifungu gani cha sheria? Au afisa biashara akikuomba umwonyeshe kleseni anatumia kifungu gani cha sheria?

Wakili mzima anaandika kabarua kaliko chini ya upeo kama hako na watu wanashangilia? Gwajima ataliwa hela hadi auze helikopta kulipa huyu wakili.Huyu wakili anachofanya ni kuongeza masaa mengi achaji tu invoice kwa Gwajima

Yule kijana wakili Malya yuko vizuri kwa approach yake hata kama Gwajima kamtoa.Ikumbukwe kuwa yule kijana kipindi chote cha uwakili kwa Gwajima hakuna kesi iliyofunguliwa dhidi ya Gwajima ya kumpeleka kizimbani wala rumande.Lakini Approach ya Kibatala ni ya kutaka kesi iende mahakama kuu chap chap mteja wake awe kizimbani!!!!
 
Back
Top Bottom