Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,970
Wakili msomi Mallya aliyemsindikiza Gwajima wakati anapewa maagizo ya mdomo na polisi alikubalije? Kweli experience matters.
Plus, wakili atapokeaje maagizo ya kusubmitt documents bila kujiridhisha yanatokana na kifungu kipi cha sheria!
No law no offence. Kuna uzi humu memba fulani alitoa wazo la Gwajima kubadili wakili wengi tuliona hivyo