Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Kibatala sio KIBATALI Kama walivyo zoea kuvizima VIBATALI vingine......sasa picha ndo inaanza maana comando john amesha muona jane yuko wapi....rejea muv ya commando ya anord
 
Namalizia kwa kusema yafuatayo katika shauri kama hili kitu cha kwanza wakili anachopaswa kufahamu ni kwamba mteja wake anakabiliwa na kosa lipi? Hapa kwa Gwajima mara anaombwa alete documents wakati il hali aliitwa kwa kosa la kutukana documents na kutukana wapi na wapi?
 
Mbona hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Au Gwajima ana uhusiano gani na CHADEMA?
 
Kwa dini zenu hizi za kishirikina na gwajima kamwe mungu hawezi kuwa upande wenu hata iweje.

Biblia ninayosoma katika kitabu cha WARUMI 14:4 kinanikataza kumhukumu mtumishi yeyote anayemtumikia YESU kwani huo uwezo hatuna bali Mungu pekee anayeona mioyoni mwao. May be useme unaungumzia Mungu wa kabila fulani na siyo Jehova au YESU ninaye mjua
 
Wala usimuingize Pengo, Pengo hajamshitaki mtu yeyote juu ya hilo, ni Kova na Abubakari wake wanajuana wenyewe huko.

Naona polisi wanataka kuchukua na majukumu ya TRA kufuatilia kama mapato na matumizi ya Gwajima yanameet vigezo vya kisheria.Sitarajii polisi kujibu barua hiyo maana watajifunga.

Natarajia Kamanda Kova kuonywa na IGP juu ya mikanganyiko hii isiyozingatia uweledi

Kitendo cha Polisi kujibu barua hii ni kujitia kitanzi ambacho mwisho wake ni kulipa Pesa mingi.
 
Hapa UKRISTO ndiyo unashambuliwa wala si GWAJIMA maana baada ya MAASKOFU kuweka mikakati ya kupiga kura ya HAPANA kwa hiyo rasimu ya katiba,serikali kuona hivyo ilimshawishi Pengo aje kinyume na makubaliano ya MAASKOFU wenzake ili tu izigawe kura za wakristo,GWAJIMA aliliona hilo ndiyo maana aliamua kumkemea kwa nguvu sana na ndiyo maana Serikali imelivalia njuga suala hili pamoja na kwamba PENGO hakushitaki lakini ikaona vyema kumkalia kooni Gwajima ili kumtia adabu kwa kumtafuta mlalamikaji BANDIA.
Kama kuna Askofu muoga hapa Tz, basi wa kwanza ni Gwajima!!

Na pia hana uwezo kabisa wa kujenga hoja.
 
safari hii hakuna cha kipalata wala cha nani,asipopeleka vitu vinavyotakiwa watamfuata kwa style ya tanganyika jerk

Nchi inaendesha kwa sheria, wala usidhani jeshi la polisi litakiuka taratibu na sheria za nchi kumuonea mtu, wamekurupuka wakijua ya kwamba watamjambisha gwajima, lets see the other side sasa,
 
Ponda yeye ni Jambazi mwenye kutaka kupora mali za watu wengine hakuna haja ya kumtetea,Gwajima yeye si mwanasiasa kama mnavojidanganya.
Mbona hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Au Gwajima ana uhusiano gani na CHADEMA?
 
kuna watu wanajidanganya eti picha ndo inaanza sidhan kama mko timamu vichwan kaz inaisha muda si mrefu wala msisumbue vichwa vyenu kufikiria hilo,gwajima ni mtu mdogo sana
 
Daa!!! Mungu gani huyo unayemshirikisha kwenye huu upuuzi huyo Mungu ndiyo alimtuma Gwajima amwambie Askofu Pengo anavaa pampers?

...! Yuko Kama Katoto, Alipewa Za Uso ***** Zake
 
nyie mjifanye wajuaji mnafikiri kesi ya kisiasa mtakuja juta kuna kesi mbaya kwa gwajima
 
Siku penda matusi ya Gwajima wala sikuwahi kumshabikia ila kwa mashataka haya yasiyo na grounds za kisheria nafikiri alionewa. Hebu tuone sheria inasemaje kwa watu formal kufanya mambo informal.

Ngoja tuone wanasheria wale pesa za gwajima ninavyojua mimi polisi wakiwa kwenye upelelezi hawa wajibiki kwa mtu yoyote kumweleza anataka docs kwa sababu gani inatosha akisema ni kwa ajili ya upelelezi. Lakini najiuliza kama anazo docs hizo kwa nini anaanza kuleta usanii
 
Good kibatala hapa lazima pengo na kova wakae!
 
kuna watu wanajidanganya eti picha ndo inaanza sidhan kama mko timamu vichwan kaz inaisha muda si mrefu wala msisumbue vichwa vyenu kufikiria hilo,gwajima ni mtu mdogo sana

changia hoja siyo matusi.
 
Ngoja tuone wanasheria wale pesa za gwajima ninavyojua mimi polisi wakiwa kwenye upelelezi hawa wajibiki kwa mtu yoyote kumweleza anataka docs kwa sababu gani inatosha akisema ni kwa ajili ya upelelezi. Lakini najiuliza kama anazo docs hizo kwa nini anaanza kuleta usanii

documents unapaswa kuleta tu endapo zinahusiana na kesi ya msingi.
 
Back
Top Bottom