Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Huyu Kibatala mzoefu,Mallya alikuwa anapelekwa pelekwa tu na polisi.Wakiambiwa leta hiki wanapeleka.Kesi ilikuwa kumtukana Pengo hayo mengine yanatoka wapi?Sasa kwa kibatala polisi watatia adabu.Vifungu kwa vifungu tu.

Umegongewa au umegongwa na like ehh
 
documents unapaswa kuleta tu endapo zinahusiana na kesi ya msingi.

Hapo kesi bado hajafunguliwa Na wala kwenye upelelezi mtu unaweza ukaitwa ajili ya tuhuma moja lakini kutokana na upelelezi ukapatikana na tuhuma nyingine. Ujue gwajima bado anatuhumiwa bado hajafunguliwa kesi yoyote
 
ndiyo maana polisi wametakiwa waandike kwa maandishi wanachohitaji na kifungu kipi cha sheria wametumia.
 
ndiyo maana polisi wametakiwa waandike kwa maandishi wanachohitaji na kifungu kipi cha sheria wametumia.

Kwa mfano wasipoandika wakati alikubali kuwakilisha docs hizo Na ukumbuke docs hizo za usajili ni mali za serikali wanaweza kuziomba na kuzikagua wakati wowote. Mimi ningekuwa gwajima kama ninazo hizo docs ningepeleka tu kuliko kuleta ligi. Serikali inamkono mrefu. Anyway let us may be they want to set a precedence!!
 
Biblia ninayosoma katika kitabu cha WARUMI 14:4 kinanikataza kumhukumu mtumishi yeyote anayemtumikia YESU kwani huo uwezo hatuna bali Mungu pekee anayeona mioyoni mwao. May be useme unaungumzia Mungu wa kabila fulani na siyo Jehova au YESU ninaye mjua

Umeuonyesha upumbavu wako katikati ya maandishi yako:

Umeliandika jina kuu litetemeshalo lililokatazwa kwa amri kulitamka bure, wewe umeliandika kwa herufi ndogo sawasawa na udogo wa akili zako, sijui umekula maharage ya wapi wewe, halafu jina Emmanuel ndio waliandika kwa herufi kubwa sijui nani kakuloga wewe, halafu unajiita mkristo, kasome kutoka sura ya 20:7 utajua nasema nini.
Utubu na kuijutia dhambi hii.
 
Utamu upo hapo. Peter Kibatala ni kichwa cha sheria pale Mzumbe University walimpika vizuri huyu jamaa na hapa Pengo na Kova wake lazima walale mbele

Sipati picha siku kesi ipo mahakamani , Shahidi wa Kwanza ni Pengo alafu anakula maswali kutoka kwa Kibatala, Sijuhi itakuwaje, Pengo lazima Joho limvuke na aombe poo!
 
Kwa mfano wasipoandika wakati alikubali kuwakilisha docs hizo Na ukumbuke docs hizo za usajili ni mali za serikali wanaweza kuziomba na kuzikagua wakati wowote. Mimi ningekuwa gwajima kama ninazo hizo docs ningepeleka tu kuliko kuleta ligi. Serikali inamkono mrefu. Anyway let us may be they want to set a precedence!!

Swala la kutukana linahusiana vipi na nyaraka za biashara yangu, nyumba yangu, gariyangu.
Hapa useme polisi wanatumika vibaya.
 
Wakuu hivi ile kadi ya gwajima ile ya uanachama wa chadema ni namba ngambi vile.
Wewe ni MPUMBAVU na MPUUZI sana. Kavae Pampers. Sijui umekula maharage ya wapi wewe!!? Gwajima ni kada mwaminifu wa CCM na 2005 aligombea ubunge jimbo la Misungwi akaangushwa katika kura za maoni ndani ya chama chenu cha MAJOKA YENYE MAKENGEZA NA MAJAMBAZI YA ESCROW, EPA, KAGODA, DEEP GREEN, RADA, NDEGE YA RAIS, BUNGE LA KATIBA na sasa mlitaka kuwaibia madereva kwa gear ya ADA YA KUSOMA ILI KURENEW LESENI ZA UDEREVA. Uwe Simiyu Yetu aka Chemba usiye na akili ni nani aliyekurogaaaaa. Nimeamua nikupe vidonge vyako leo. Tena nimekupa Cash wala siyo kwa instalments.
 
Kwa mfano wasipoandika wakati alikubali kuwakilisha docs hizo Na ukumbuke docs hizo za usajili ni mali za serikali wanaweza kuziomba na kuzikagua wakati wowote. Mimi ningekuwa gwajima kama ninazo hizo docs ningepeleka tu kuliko kuleta ligi. Serikali inamkono mrefu. Anyway let us may be they want to set a precedence!!

walimwambia kwa mdomo ndiyo maana kawambia niandikieni maandishi na mimi nitazileta kwa maandishi.
 
Msome Kibatala Kutoka Fb akimjibu Mburura mmoja:

"
  • Bro Roma Roma Masu;wao watujibu kama tulivyoomba, na mengine yatafuata. Hatukuwaandikia kama mapambo. Tuna mpango mkakati utakaojumuisha kufungua cases za kikatiba week ijayo. Watujibu tu kama vile sisi ni wajinga, kisha tukutane nao High Court. Sisi tunataka barua/warrant/sijui nini rasmi inayotaja vifungu husika.

"

Msome na hapa tena:

Peter Kibatala WATUJIBU. Hilo tu. Me safari yangu ni High Court, the rest ni njia tu. Waniandikie na kuniambia 'Kibatala,wewe mzembe sana! ina maana hujui ni kifungu fulani na fulani cha sheria fulani kinatupa mamlaka hayo?'. Nanyi pia Mawakili wenzangu mnaruhusiwa kunitajia kifungu husika kinachowapa nguvu Police kumuhoji mtu kwa kosa la kutumia lugha ya matusi na kudai receipts za ununuzi na umiliki wa helicopter. Sheria ni ubunifu na si conformity
 
Jamani hamna aliyeko juu ya sheria sio pengo wala police hasa Kwa kesi yenye publicity kama hii! My take..... CCM imelewa sana hadi inasahau kuwa walokole nao ni wapiga kura !! Adui Wa CCM ni CCM mwenyewe
 
hii kesi ingekuta ni mtikila hau kakobe ndipo ingenoga.
huyu gwajima ni mwoga
 
Kibatala: section 38 CPA inazungumzia searches. Hawa jamaa hawajam-search, wamemuamuru awasilishe nyaraka. Ni kifungu kipi kinawapa mamlaka hayo?
 
Hiyo barua isiwatishe sana watu msiojua sheria kwa kifupi jeshi la polisi limepewa mamlaka makubwa ya kuchunguza jambo lolote ambalo wanahisi ni la kijinai kupitia sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai kuna vifungi kadhaa vinavyoainisha nguvu zao za kisheria jambo ambalo alipaswa kuwataka polisi ni kwamba mteja wake anakabiliwa na kosa lipi? hapo ndio pa kuanzia na huku akihakikisha kila hatua ya mahojiano anakuwa na mteja wake.

Ni vifungu vipi vinavyoainisha mamlaka hayo ya keshi la polisi?
 
Back
Top Bottom