Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

1577217208119.png
 
Unawaza kujaza segerea?mtakua mnaingia wengine wanapewa msamaha,na jela hua haijai kwa taarifa yako,wewe endelea kuchonga ngenga
only fools like you can accept this.they are starter of what others thinks.wakikamata segerea ikajaa,automatically mass support will rise.matter of time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly,wapi Lissu for nao
Watanzania wengi ni wazuri sana katika kukushangilia lakini ukiaanza kupata misukosuko huwezi kuwaona tena!

Kwa maana nyingine, watanzania wanaweza kukutumia kama kifurahisho/kiburudisho lakini ukipata misukosuko wanakuacha na kuhamia kwenye kiburudisho kingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliyemqoute katumia wingi, naona unavalia kanzu maulid ambayo hujaalikwa.

Kwa hiyo alipotumia wingi na wewe unatumia wingi? Nimeuliza u-qualify hicho ulichoandika ndio maana ya forum hakuna anayealika mtu bali member anaweza kukuuliza maana. Naona hiyo imekuwa nongwa kwako?
 
Back
Top Bottom