Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hata nyie yatawakuta tu kama sio nyie hata vizazi vyenu
Hujanielewa. Hata mimi nasikitika sana kuwa kwenye hiyo hali. Angalia wale viongozi Daruso kilichowakuta. Na hakuna hata wanafunzi walau waliopambana viongozi wao waliposimamishwa masomo.
 
Kama kuna mbambikiaji watu kesi yoyote unaemjua ambaye anaishi maisha ya raha na starehe tuonyeshe, wote huishi maisha ya ulevi na uzinzi, hufa fukara, hufa na majuto, huishi maisha ya wasiwasi siku zote, hata wakifanya jambo la maendeleo hugeuka kuwa la mateso, mnaweza muona ni mtu anaefurahia maisha lakini moyoni kuna mambo yanamtafuna kwa ndani. Mwisho wa siku hujutia maovu yake lakini hakuna kinachomfaa.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania inakuwa banana republic wewe unafurahia ,boys kweli
 
Wameomba maridhiano na watekaji. Mtu unapinga maovu unaanzia wapi kuomba maridhiano na muovu ? Yaani wapinzani wa CCM bwana. Hii nchi ukitaka kuishi kwa raha bora uwe hauna chama chochote cha siasa kama mimi.
Mbona wewe ni mwaccm tena damudamu
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Hakuna uwezekano wa kupata Tume HURU ya Uchaguzi. Ni sawa na kumpata kiongozi wa mpira wa miguu asiye aidha Yanga au Simba! Mwanasiasa yeyote atakuwa CCM au Mpinzani wa CCM. Hata KENYA unaona mambo bado.
 
Kifupi unamaanisha serikali au dola inapofikia kiwango hicho inabaki imekalia kaa la moto ikiwa haijui ni lini umma utaifurumusha ghafla isijue la kufanya..... Ni jambo la muda tu dola zote zenye matendo ya hivyo hazijawahi kuwa na nguvu na hazidumu maana ni kama mwanamke mwoga tu au dhaifu hata mtoto akikosea yeye anamkemea na panga mkononi

Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mleta inaonesha unfurahia utekaji at any cost.wew tokea watu waanze kutekwa imesaidiaje uchumi wa taifa kukua?
 
Hata yeye alikuwa anafanya HARAKATI zake nyuma ya Internet kwani aliandamana?
na kwanini serikali ione kuikosoa ni KUHUJUMU UCHUMI?
kukosoa ni kosa?ni tusi?
Kwanini wakasirike?
wao sio malaikaaa
Na kuwa na nguvu isiwe sababu YA KUWATESA WENZIO
Kabisa yaani. Yaani yakikukuta unahangaika kivyako. Hakuna alie nyuma yako. Wanakusupport nyuma ya internet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiujumla hamna cha maana ulichoongea, kila mtu ana stahili yake ya kutoa maoni, malalamiko, au hisia zake, na inategemea na jinsi jambo lilivyo mgusa, uwezi kuwafanya wawe na mtindo mmoja, kufanya wawe na mtindo mmoja ni jukumu lako kuamua kuwafunga, kuwateka, kuwapoteza, kuwafugulia mashitaka upendayo wewe, napa ndio unapatikana udikiteta, ambao ni mmbaya kwako mwenyewe,
Kumbuka tunahitaji maendeleo, ni lazima yaambatane na Uhuru, demokrasia na haki.
Maendeleo bila Uhuru demokrasia na haki, ni bora yasiwepo, kwa kuwa vyote vinaweza vurugika tusipo elewana na bora fedha hizo tungenywea pombe tu.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kama mtu mwenye akili timamu
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Ww ndie yule unakosoa kwa matusi iko siku yakikukuta ndio utajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom