Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Na mie nataka mtoto.
Sio unaleta porojo hapa.
Nakupa miezi hii..3, tumbo langu litune hili.
Unamuona mndele sweetlady!
Jipange.
We ni mume gani?
Wakezo wote 4 hakuna hata mmoja mwenye kula embe mbichi au kumung'unya udongo.

Njoo nikusaidie mama, huyo Arushaone limebaki jina tu, hana meno siku hizi, utasubiri sana
 
Last edited by a moderator:
Mzazi sijawashiwa jiko la mkaa mpaka sahizi dia, hebu Madame B fanya huo mpango manake nishaanza kutetemeka kwa baridi

King'asti, Kipipi, amu, Paloma, Kaunga, gfsonwin, snowhite, mwaJ............. Jamani mzazi anatakiwa supu na Maji ya Kumchoma mwili.......
Haya......
Mndele King'asti, Kipipi na mwaJ....... Mtamtayarishia mzazi supu na Mtori wa Kishmundu
three-woman-cooking-together.jpg


Mie nitamsaidia Mzazi kula.....
200550509-001_healthy_restaurant_eating_web.jpg


Mndele Kaunga......... Utamfanyisha mazoezi Mzazi
eGU5cXQ4MTI=_o_how-to-exercise-after-birth.jpg


Wandele gfsonwin na snowhite........... Mtamuogesha mzazi
women_in_shower_stalls_in_locker_room_45nh0069rm.jpg


..........mkishindwa, Shemeji yake ambae ni Erickb52, atakuja kumuogesha.
Jesses-birth-8-7-06-058.jpg


Wandele Paloma na amu...........mchagulieni viwalo mzazi, vyake na vya mwanae
BABY_SHOWER_PK_GIFT.gif


Wanaume.....zawadi zenu tumeziona.
Mary-Mary-Shower-3.jpg
 
Nitonye hongera kwa kupata mtoto, Nakushauri, uanze kuwekeza leo kwa ajili ya masomo yake ya baadaye hata sh 50,000/=kwa mwezi inatosha, mpk akifika umri wa kwenda shule una pesa ya kutosha.Pls zile pesa ambazo tutakuja kukuletea kama zawadi ya mtoto iwe ndiyo chanzo cha kumfungulia account yake.Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom