Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama

Hongera sana kaka, Mungu amjaalie mwanao na mama mtoto afya njema na maisha marefu.
Stay blessed mkwe wangu wa zamani!!!
 
hongera sana kumbuka kumchagulia mtoto jina lenye mantiki.Mungu ni mwema
printed-footed-one-pieces-for-baby-blue-pirates.jpg
little-bundles-sock-3-packs-for-baby-soft-limon.jpg
little-bundles-beanie-3-packs-for-baby-alpaca.jpg
curious-george-bodysuits-for-baby-heather-gray.jpg
kazi kwako malezi ya mwanao yako mikononi mwenu pamoja na muumba.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio maana sweetlady amepotea sana!? Hongera sana Mkuu! Mungu amlinde mwanao na Roho wake amwongoze awe mtoto wa mfano!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom