Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Nitts hongera sana! MUNGU ampe mwanao malezi bora!


sweetlady naomba niweke oda ya kumzibua mtoto masikio.
Hivi kumbe leo ni siku ya wanawake duniani?
 
Last edited by a moderator:
Wewe umetokea wapi!??, kuskia nitonye kapata mtoto umerudi spidi, kulikoni...!? au umeona FAIDA
Rekebisha sentensi Sefet, sio nitonye kapata mtoto ni sweetlady na nitonye wamepata mtoto wa kiume, tunakaribisha majina tafadhali. Nilipotea manake hapa mwishoni mimba ilikuwa inanisumbua lol. Nimerudi kama kuna yeyote alikuwa anammezea mate husband alie tu lol
 
Last edited by a moderator:
Na mie nataka mtoto.
Sio unaleta porojo hapa.
Nakupa miezi hii..3, tumbo langu litune hili.
Unamuona mndele sweetlady!
Jipange.
We ni mume gani?
Wakezo wote 4 hakuna hata mmoja mwenye kula embe mbichi au kumung'unya udongo.
Hehehehe, bora umwambie mwaya, amekazana kutaka kuwazibua watoto wa wenzie masikio kumbe kwake kumemshinda! Arushaone nini tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom