King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Last edited by a moderator:
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama
Ukimpa jina la Nitekenye nitonye linafaa sana
hadi kwenye kibeseni kuna kutoa mada, mweeh!
afu ulikuwa wapi mndele sijakuona wakati tunamkaribishia mwaka mpya da sophy?
Hongera sana mkuu Nits. hope hujarandisha kama avatar yako(just a joke)
Usijali switito.....Mwenyezi Mungu atakujaalia kadiri ya upendavyo. Mtumainie yeye!!!