Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

nitonye hongera sana. King'asti chukua order huyu atakuja kuomba msaada jf doctors kitoto kinalia yeye halali kuwepo bila kukosa plz.
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama

Hongera Mkuu nitonye............................. eti huyo mama yake nani? ID yake ni gani humu?
 
Last edited by a moderator:
Hongera.. lakini angalia mtoto asi-rithi sura ya baba ya avatar ..
 
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama

Waitu waihyuka muno,ahsante kwa kutupa 'omutono'!
 
Una maana haka ndo katoto kako ka kwanza?
Yaani Li - nitonye lote nalolijua, katoto kamoja? Au una kangine ?
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama

Hongereni mkuu nitonye, mpe hongera na mama wa mtoto, miezi tisa si mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom