Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

nitonye badili avatar yako tafadhali

...................kwi kwi kwi kwi kwi kwi ha ha ha ha ha ha ........olewa mama usichana ni wako mpaka uzeeke utakuwa vyeti vya harusi robo ya umri wako............
 
Last edited by a moderator:
Muhogo mpevu! Huchimbwa .... (mtamalizia wenyewe)
Mr. Nitty congra! Mwisho wa siku ume own costituency!
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kawaida ya wa TZ wote wanampenda mtu akiwa na kamba mguu ikitoka unakuwa mmmmmmmhhhh.....mimi na mipasho wapi na wapi....nimetoa baraka zangu aolewa hata kama TALAKA haikutoka......mtoto akilia wembe mpeeeeeeeeeeeeeee......mwili una thamani kuliko .....utamalizia mwenyewe

kuliko K??? aah wapi, sikubali...
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1377835170118.jpg
    uploadfromtaptalk1377835170118.jpg
    9.7 KB · Views: 20
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bibi harusi nimewekwa ndani. My wii wa ukweli Heaven on earth utasimamia ukumbi,sare,nguo za maharusi,mialiko na wasimamizi bila kusahau kamati

kama kawa kama dawa wii wa ukweli niko hapa.

kungwi wako ni Madame B tunaomba afanye kazi yake kwa umakini
mume shurti apetiwe petiwe
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kawaida ya wa TZ wote wanampenda mtu akiwa na kamba mguu ikitoka unakuwa mmmmmmmhhhh.....mimi na mipasho wapi na wapi....nimetoa baraka zangu aolewa hata kama TALAKA haikutoka......mtoto akilia wembe mpeeeeeeeeeeeeeee......mwili una thamani kuliko .....utamalizia mwenyewe

hahaaaaa hiyo talaka ulikuwa unasubiria lini kuitoa!!!!!!!

muache kaka yangu nitonye ajisevie chombo cha ukweli!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi nimeshaweka oda ya nguo ,viatu na aksesoriz nyinginezo kwa ajili ya hii shughuli...

Tiketi za ndege kwenda na kurudi zipo tayari...na nishafanya kabisa booking ya hoteli kwa siku zote tutazokuwa huko...
watu8 na familia yako msikose jamani mkeo measkron ha wanao charminglady sweetlady na ladyfurahia

hao watoto bado mna mpango wa kuongeza na wengine!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom