moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,880
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi wewe utakuwa species nyingine ya jini ambayo paz hakukutana nayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi wewe utakuwa species nyingine ya jini ambayo paz hakukutana nayo
huyu aseme tu kama anapenda zile za mambo ya [emoji533][emoji533][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna ulozi wala [emoji533][emoji533] ila soma kwa kutaka kujifunza inafungua mengi sana. Ipo moja inaitwa 'hamida'[emoji114][emoji114] humo [emoji533][emoji533] ziko za kutosha
thnx j
Mfyuu[emoji16][emoji16]Tofauti ya ngozi ya binadamu na jini. Nimekutana nazo sana ila sikuwa nikiwatambua ila nilikuwa napata hisia tu.
We sister mawigi Antonnia unataka kugundua nini, maana so kwa li sauti hilooIntelligent businessman come this way pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
Hutaki au nikutajie mmoja ni cereb mkubwa tu hapa tz[emoji41]Mfyuu[emoji16][emoji16]
Humu ndani kuna story nyingi ila kuzipata sasa..uwe unanitag hvo hvo ukizikuta as me too ntakua nakutagKabisa Vuta utulie zako usome ado adoo mkuu...mi mwenyewe nimeishia episode ya 2 bado sijafika mbali!!
Kweli Kabisa mkuu Story nyingi sana muda wa kuzisoma kwa ndio kasheshe !!Humu ndani kuna story nyingi ila kuzipata sasa..uwe unanitag hvo hvo ukizikuta as me too ntakua nakutag
Mkuu mimi Pwani ni wa kuja tu, ingawaje nimekaa zaidi ya miaka 10.Nakataa wewe sio wa Singida....hili neno ni la kizaramo,/Pwani sana.
Hata maneno mengine pia kwenye masimulizi Yako.
UsiogopeMh nawe unanitisha
Kipi hicho na ndio kwaanza Antonnia kakuita jana. [emoji16][emoji16][emoji16]Hii imenifundisha kitu kikubwa sana
Kwa account hii hakuna. Sijapata muda mzuri wa kuandikaMkuu JBourne59 baada ya " hatimae niko huru" na "Hamida" kuna mkono wako mwingine hapa jf? Simulizi zako nimejifunza elimu mpya, hamasa ya kupambana, uvumilivu, busara kubwa, n. k
Asante sana. Nakuomba ukifungua uzi weka link kwenye hizi zilizopita ili iwe rahisi kwa wanaofatilia kujua. [emoji120]Kwa account hii hakuna. Sijapata muda mzuri wa kuandika
Sipendi kwenye nyuzi zangu watu wawe na arosto, bora mtu achoke mwenyewe kusoma lakini akija akute kitu kinaendelea hadi mwisho.
Nataka niandike stori ya kufurahisha mioyo tu, 'hekaheka uzeeni'
Sijui kama nitamaliza upesi niifungulie uzi.
Sent from my Infinix X690B using JamiiForums mobile app