mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 817
- 1,545
Acha kukurupuka wewe,unajiaibisha na mawazo yako mgando,umeona ile comment yake aliyojisifu kua yeye ana hela? Kua na hela sio mimi ndio nimesema bali yeye ndiye aliyejisifu,kama hujui basi mimi ni mbeba box na nipo kitambo tu huku ndio maana nikamuona nimshamba tu kujikweza kua kua kwake Pakistani ni kua na hela,uwe unasoma flow ya comments kuliko kukurupukia katikati tu.Una akili za kimaskini sana,Sasa kwenda Pakistan week 3 ndo kuwa na hela??? Sasa angeenda kuishi Marekani au Ulaya moja kwa zote si ndo ungelia kabisa,nchi yenyewe maskini Pakistan ingekuwa US je?
Tayari umeshapigia comment yangu mstari,wewe Ni maskini mbeba box, hatuwezi kuelewanaAcha kukurupuka wewe,unajiaibisha na mawazo yako mgando,umeona ile comment yake aliyojisifu kua yeye ana hela? Kua na hela sio mimi ndio nimesema bali yeye ndiye aliyejisifu,kama hujui basi mimi ni mbeba box na nipo kitambo tu huku ndio maana nikamuona nimshamba tu kujikweza kua kua kwake Pakistani ni kua na hela,uwe unasoma flow ya comments kuliko kukurupukia katikati tu.
Hamna hiyo commentAcha kukurupuka wewe,unajiaibisha na mawazo yako mgando,umeona ile comment yake aliyojisifu kua yeye ana hela? Kua na hela sio mimi ndio nimesema bali yeye ndiye aliyejisifu,kama hujui basi mimi ni mbeba box na nipo kitambo tu huku ndio maana nikamuona nimshamba tu kujikweza kua kua kwake Pakistani ni kua na hela,uwe unasoma flow ya comments kuliko kukurupukia katikati tu.
maalumu ki vp kiongozi
Bei zao vepe? Nasikia mamanzi wa kule konki konki kama kawa!Ukifika Lahore ulizia Heera Mandi, wenyeji watakupeleka.
Bei zao po tu. Kuanzia rupia mia unajirusha. Konki konki konki master, oil chafu.Bei zao vepe? Nasikia mamanzi wa kule konki konki kama kawa!
Acha kua na mawazo ya kijinga,kubeba box ni lugha inayotumika kuashiria mtu aliyepo abroad,halafu mbona unatokwa povu kwa niaba ya mleta mada? Wewe ni mke wa mleta mada?Tayari umeshapigia comment yangu mstari,wewe Ni maskini mbeba box, hatuwezi kuelewana
Unaishi na akili za kushikiwa, Westgate!? Wala havihusiani na Uislam, Maslahi ya watu yale! Nimekwambia shughulisha ubongo! KIPAPA WEWE!!!Hakuna ulichoongea, Njoo na proof hata moja mi niachane na JF mazima.
Kuna mtu alinambiaga Watu wa kariba yenu huwa mnawaachia mashekhe wafikirie badala yenu.
kipindi cha tukio la Westgate ulikua na smartphone au ulikua unabangua korosho?
Qumma kweli wewe!!!
Nikuletee vifungu vya Quran vinavyoelekeza kuwaua watu wasio waislamu??? Sema suUnaishi na akili za kushikiwa, Westgate!? Wala havihusiani na Uislam, Maslahi ya watu yale! Nimekwambia shughulisha ubongo! KIPAPA WEWE!!!
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Acha upum....vu wewe,hivi ukiwa upo Marekani unafanya kazi ya udaktari au engineering,utajiita wewe Ni mbeba box? Mtoa maada hajakosea wewe Ni maskini na akili zako ni za kimaskini sanaAcha kua na mawazo ya kijinga,kubeba box ni lugha inayotumika kuashiria mtu aliyepo abroad,halafu mbona unatokwa povu kwa niaba ya mleta mada? Wewe ni mke wa mleta mada?
Mzee soma post #58, msije potea tu.uwe unanimiss na mimi basi
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Unaongelea manzese ya miaka ganiSana sio kidogo, Manzese Kuna uafadhali