Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Aliyo kuambia wapikistan warabu ni nani uwe unauliza
 
Mtu yuko zake uswekeni maramba mawili kwenye chumba Chenye joto kajilaza baada ya kushiba Dona na dagaa wa Mwanza huku akipigwa upepo na feni la Dolphin kutoka China , anawadanganyeni kuwa Yuko Pakistan.

'';;!!
Hahahaha!!umetisha
 
Huu uandishi tu unaonekana wewe nikapuku hohe hahe! ndio maana umeandika kwa hasira coz naona dawa imekuingia kisawa sawa,ungekua mzoefu wa safari usingekurupuka kuleta hiki kithread huku,kwahiyo kila anayesafiri afungue uzi jf? jitafakari wewe acha maisha ya maigizo,mimi sina haja ya kujisifu kwako eti nina hela coz wenye hela hua hawajisifu wala hawajitangazi,endelea tu kusubiri ugali wa shikamoo hapo kwa shemeji yako.
Hahhaahaaaaa!!!! Hongera zako
 
Una akili za kimaskini sana,Sasa kwenda Pakistan week 3 ndo kuwa na hela??? Sasa angeenda kuishi Marekani au Ulaya moja kwa zote si ndo ungelia kabisa,nchi yenyewe maskini Pakistan ingekuwa US je?
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Sawa mkuu.. Kila laheri
 
Mkuu pasipoti yako umeitia doa na kama jina lako ni Abdala utapata taabu sana kupata visa kwenda nchi nyingine ambazo ndio dunia kwa sasa,ukienda Pakistan,Iran,Iraki,Afaghastani inakuwa ni shida sana kupata viza kwenda duniani
 
Hongera mkuu.

Usisahau kutembelea Saidu Sharif ambao ni mji mkuu wa bonde la Swat ambalo lina mto Swat unaopita katikati..

Matunda ya apple na peach yanatoka hapo.

Kabila la watu wa hapo wanaitwa Pashtun ambalo ni moja ya makabila madogo lakini hili kabila ni maalum.
Pashtun si kabila dogo kihivo limesambaa mpaka Afghanistan na lugha yao ni Ki- Pashto ndo wanafanya NATO na USA wasilale usingizi mzuri. Wanapigana kama siafu na ni wataalamu wa vita vya milimani mfano Torabola mountains wameichimba kwa chini utadhani ni London underground.
 
Hahaaa akili ndogo kwenye ubora wenu, jaribuni kuuhangaisha ubongo hata kdg mjue kuna nn kwenye huo mkakati wa ugaidi, sio mnajazwa mavi na wazungu kwenye bongo zenu mnakuja kuropoka harufu za chooni tu hapa
Hakuna ulichoongea, Njoo na proof hata moja mi niachane na JF mazima.

Kuna mtu alinambiaga Watu wa kariba yenu huwa mnawaachia mashekhe wafikirie badala yenu.

kipindi cha tukio la Westgate ulikua na smartphone au ulikua unabangua korosho?

Qumma kweli wewe!!!
 
Pashtun si kabila dogo kihivo limesambaa mpaka Afghanistan na lugha yao ni Ki- Pashto ndo wanafanya NATO na USA wasilale usingizi mzuri. Wanapigana kama siafu na ni wataalamu wa vita vya milimani mfano Torabola mountains wameichimba kwa chini utadhani ni London underground.

Ndo maana nimesema ni kabila maalum kwani humo kuna Taliban, kuna wasanii wa filamu kule Bollywood, wanamichezo na jina la Khan ni maarufu sana.

Kwa Pakistani bado Pashtun ni kabila dogo kwa asilimia 15 ila kwa Afghanistan ni kabila kubwa.

Sababu ingine inayolifanya kabila hili kuwa ni maalum ni kwamba kuna nadharia inayoonyesha kabila hili limetokea kwa wayahudi.

Kabila hili linaaminika sana kwa mataifa makubwa na limeenea duniani kote kuanzia Iran, Uarabuni, Ulaya hadi Australia.
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Pakistan ni wahindi siyo Waarabu
 
Back
Top Bottom