Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Una akili za kimaskini sana,Sasa kwenda Pakistan week 3 ndo kuwa na hela??? Sasa angeenda kuishi Marekani au Ulaya moja kwa zote si ndo ungelia kabisa,nchi yenyewe maskini Pakistan ingekuwa US je?
Acha kukurupuka wewe,unajiaibisha na mawazo yako mgando,umeona ile comment yake aliyojisifu kua yeye ana hela? Kua na hela sio mimi ndio nimesema bali yeye ndiye aliyejisifu,kama hujui basi mimi ni mbeba box na nipo kitambo tu huku ndio maana nikamuona nimshamba tu kujikweza kua kua kwake Pakistani ni kua na hela,uwe unasoma flow ya comments kuliko kukurupukia katikati tu.
 
Tayari umeshapigia comment yangu mstari,wewe Ni maskini mbeba box, hatuwezi kuelewana
 
Acha kukurupuka wewe,unajiaibisha na mawazo yako mgando,umeona ile comment yake aliyojisifu kua yeye ana hela? Kua na hela sio mimi ndio nimesema bali yeye ndiye aliyejisifu,kama hujui basi mimi ni mbeba box na nipo kitambo tu huku ndio maana nikamuona nimshamba tu kujikweza kua kua kwake Pakistani ni kua na hela,uwe unasoma flow ya comments kuliko kukurupukia katikati tu.
Hamna hiyo comment
 
Ukiona Mambo Hayaendi Rudi Nyumbani Tanzania Mambo Ni Moto Sana Yaani Mazuri
Korosho Bei Juu
Huko Pakistan Ujilinde Tunajua Mabom Nje Nje
 
Hakuna ulichoongea, Njoo na proof hata moja mi niachane na JF mazima.

Kuna mtu alinambiaga Watu wa kariba yenu huwa mnawaachia mashekhe wafikirie badala yenu.

kipindi cha tukio la Westgate ulikua na smartphone au ulikua unabangua korosho?

Qumma kweli wewe!!!
Unaishi na akili za kushikiwa, Westgate!? Wala havihusiani na Uislam, Maslahi ya watu yale! Nimekwambia shughulisha ubongo! KIPAPA WEWE!!!

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Acha kua na mawazo ya kijinga,kubeba box ni lugha inayotumika kuashiria mtu aliyepo abroad,halafu mbona unatokwa povu kwa niaba ya mleta mada? Wewe ni mke wa mleta mada?
Acha upum....vu wewe,hivi ukiwa upo Marekani unafanya kazi ya udaktari au engineering,utajiita wewe Ni mbeba box? Mtoa maada hajakosea wewe Ni maskini na akili zako ni za kimaskini sana
 
Hivi na joto lote hili Huwa wanagongaje mchezo?? 53 centigrade sio padogo
Screenshot_2018-11-17-10-04-06.jpeg
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..

Pakistan hakuna waarabu.
Vipi hicho ndo kilichokupeleka?
 
Back
Top Bottom