Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Miezi hii ni baridi muda wa winter huu Northern HemisphereUsikose kufika Karachi pahovyo sana na kuja joto utafikiri upo kwenye oven
Miezi hii ni baridi muda wa winter huu Northern HemisphereUsikose kufika Karachi pahovyo sana na kuja joto utafikiri upo kwenye oven
Pakistan ni uarabuni? Au umeona maandishi ya kiurdu unajua kiarabuMasaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
After 3 weeks,unanimiss unajua Mimi Ni Nani?


Konki konki konki MasterSawa. Ntapanga vijana wangu pale JNIA wakudake.Indeed
usiwe mkali mkuuAfter 3 weeks,unanimiss unajua Mimi Ni Nani?
Hebu kwa serious mkuu!! Tafuta hata kabango kameandikwa kiarabu/kihindi upige nako picha angalau uongo wako wachache wauaminiMasaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Akili ndogoHapana masheikh sio magaidi ila wainjilisti ndo magaidi
Check PM yako chiefAlikukataa kwa sababu you're not her main target, anatafuta wakosoaji wa serikali ya ccm ili awapoteze..
Halafu hilo ni dume,mtakuja kufa
Hahaaa akili ndogo kwenye ubora wenu, jaribuni kuuhangaisha ubongo hata kdg mjue kuna nn kwenye huo mkakati wa ugaidi, sio mnajazwa mavi na wazungu kwenye bongo zenu mnakuja kuropoka harufu za chooni tu hapaHahahaha mkuu uwe unapita kule intelligence mara moja moja, hakuna terrorist attack iliyowahi kuongozwa na christians duniani, unadhani trump kupiga biti waislamu nchini kwake ilikua coincident?
Kwenye lugha hapo hawa tumii kihindiMAMA NTILIE WAARABU ?? KWELI WEWE MUAFRICA MUONGO SANA NAONA HUJAFIKA PAKISTAN . PAKISTAN SIO NCHI YA WAARABU NA WALA HAWAISHI WAARABU NA WALA LUGHA HAWATUMII YA KIARABU NA PAKISTAN HAWAJUI KIARABU . PAKISTAN NI ASILI YA KIHINDI NA LUGHA YAO NI MOJA NA INDIA
Acha ujinga wewe,nani kakwambia kua wapakistani ni waarabu? kumbe uliandika kwachuki za kijinga tu eeh?Usiniletee uislamu wako hapa,nikiikosoa hiyo Quran yako waislamu wote mtaandamana humu jf
Persian na Wahindipaktan ni waarabu au wahindi?
Usijaribu kuukimbia ujinga uliouweka hapa,Pakistani wana andika lugha ya ki urdu na maandishi yao kama ya kiarabu,sasa wewe darasa la pili unusu ukakurupuka tu na kuleta story humu eti hao ni waarabu! hii ni jf ukileta poroja utawekwa sawa tu,bora urudi huko fesibuku ukaendelee kulike mitindo ya nywele na madela.Nikuletee kifungu Cha Quran kinachosema hayo?? Chagua nilete hapa mbele ya watu au nikuletee PM
Wale nawaachia hela ya chai tunamalizana na Ni watu wangu wa karibu sanaSawa. Ntapanga vijana wangu pale JNIA wakudake.
Mimi nkitoka hapa ntakuwa ChinaHapana
Uchina nita transit tu kuconnect flightMimi nkitoka hapa ntakuwa China
Huu uandishi tu unaonekana wewe nikapuku hohe hahe! ndio maana umeandika kwa hasira coz naona dawa imekuingia kisawa sawa,ungekua mzoefu wa safari usingekurupuka kuleta hiki kithread huku,kwahiyo kila anayesafiri afungue uzi jf? jitafakari wewe acha maisha ya maigizo,mimi sina haja ya kujisifu kwako eti nina hela coz wenye hela hua hawajisifu wala hawajitangazi,endelea tu kusubiri ugali wa shikamoo hapo kwa shemeji yako.Hahaaa!!! Mbwa wewe!! Nina hela nakulisha wewe ,baba ako,mama yako.shangazi yako,Bibi yako mke wako nawajengea na nyumba ikiwezekana nawapiga na mbupu kabisa mbwa wewe
Wewe mtu anakusahihisha Kwamba Pakistan Sio wa Arab unazumgumzia QuranHatuwezi kuelewana,wewe unaitetea Quran, mimi siamini katika quran naona naona Ni imani ya kipuuzi tu
tupia picha sasa mkuuYap,nimejifunza mengi