Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Acha kua na mawazo ya kijinga,kubeba box ni lugha inayotumika kuashiria mtu aliyepo abroad,halafu mbona unatokwa povu kwa niaba ya mleta mada? Wewe ni mke wa mleta mada?
Acha fix wewe kwa hiyo Kila mbongo anayeishi abroad Ni mbeba box??? Foolish
 
We kiazi huwezi elewa! Ndio maana kitripu kimoja tu umekimbilia JF kuanzisha thd,
Acha ulimbukeni kiazi wewe.
Tulia kitobo wewe, Mimi nimeenda kwa pesa zangu ki mpango wangu we pimbi endelea kuosha vyombo acha matajiri tule Bata ndezi wewe
 
Pakistan ni wahindi hao walitengana na wahindi miaka ya nyuma huko kama korea kisini na kaskazini walikiwa ni wamoja usije sema ni waarabu
 
Hii mihemuko ya kijinga itawaua ninyi waarabu weusi,hivi umeambiwa wazungu ndo mashoga pekee,halafu tukienda na uhalisia hivi kuna ushoga mkubwa zaidi ya ulio Arabuni?.Kwa macho yangu nimeyashudia uchafu mkubwa Dubai,Ajman,Sharjah,Abu Dhabi,Al - Ain, Furjairah,Oman hadi Amman - (Yemen).Tuchangie mada nje ya mihemuko.
Kusema hivyo umethibitisha nn uchafu wa dubai ya wazungu si tunaona daily wanaoana ww tuliza kishumundu hicho
 
Kusema hivyo umethibitisha nn uchafu wa dubai ya wazungu si tunaona daily wanaoana ww tuliza kishumundu hicho
Acha utumwa wa kidini wewe,hivi wabongo mtaamka lini,uislamu Ni dini ya waarabu wewe mwarabu? Acheni shobo wabongo,kwa hiyo duniani hapa hakuna waarabu mashoga?? Acha ushamba
 
Back
Top Bottom