Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Unikumbuke hata ¼kg unaporudi
 
Pakistan siyo waarabu mkuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom