Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Good morning ma lovers

Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke… and finally i Leejay49 nimelishinda hili maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu..( Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa…

Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kua i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata.. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌

But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.. Lilikua ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa , yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃.. Lakini gues what limetimia kabla ya wakati

I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men.. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali( Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha)

Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikua ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana( Na hili halihitaji maelezo)… Am in Love🥰🥰❤️

Muwe na jumapili iliyo njema



Ukiwa unavutia utahangaika Ila ukiwa na mvuto you will get the right choice

Uumbaji huwa hauna kelele Ila uharibufu Una kelele

Calmness
 
Hongera sana kwa kumpata mpenzi mpya unayempenda sana ila nikusihi tu nitaendelea kukaa Sub bila kuchoka hadi ambapo utamu wa penzi lenu jipya utapofifia 😂😂😂 kwa kuwa nina uzoefu wa miaka mingi katika hii tasnia. Ikifikia hatua hio usione aibu we njoo upate liwazo 😁
Wanaume hamjawahi kuchoka kukaa sub, imagine kuna mkaka ananitongoza toka 2019🤣🤣🤣🤣 Anasubiri ndoa iyumbe nikampe vya hasira🤣🤣🤣🤣
Kwenye hili nawaaminia🤣
 
Unapojiingiza kwenye mahusiano usitegemee furaha tu siku zote bali uwe tayari ku face raha na karaha,
Hakuna binadamu aliyekamilika,tunaishi kwa kuvumiliana tu,ukitaka kupata mwenza aliyekamilika na asiye na mapungufu yeyote,hutumpata kamwe,kumbuka hata wewe una mapungufu yako,

Mahusiano yaendane na maelewano,uvumilivu na kusameheana,bila hivyo utabadili wanaume kama Daladala,ukienda umepanda hili na ukirudi unapanda lile,

All the best.
 
Unapojiingiza kwenye mahusiano usitegemee furaha tu siku zote bali uwe tayari ku face raha na karaha,
Hakuna binadamu aliyekamilika,tunaishi kwa kuvumiliana tu,ukitaka kupata mwenza aliyekamilika na asiye na mapungufu yeyote,hutumpata kamwe,kumbuka hata wewe una mapungufu yako,

Mahusiano yaendane na maelewano,uvumilivu na kusameheana,bila hivyo utabadili wanaume kama Daladala,ukienda umepanda hili na ukirudi unapanda lile,

All the best.
Asante kwa hekima hizi big brother.. One love❤️
 
Back
Top Bottom