Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,298
Kweli ni ya ajabu....tukupe muda penzi jipya linakuwa vere howt mpaka unaeza fanya mambo ya ajabu kama haya

Ebu nipe utaratibu wa kufunga japo nami niganye Ivo cz najiona kama nmejiweka mbali na MunguGood morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Hivi miaka miwili haizibi? Eti mtaalam?Sasa atakuwa anapata madini tuu mbususu ilikaa miaka miwili bila kuchokonolewa sii mchezo
AiseeeeHivi miaka miwili haizibi? Eti mtaalam?
We nae kama huku kunakukera si uende kwenye majukwaa ya arise and shine...
🤣🤣🤣🙌🏿Huwa unamfanyia mambo meusi ila bado yumo tu 😂
Yaani I wish one day mtu aseme will you marry me?? Hivyoo rafiki hebu niombee litokeeHahahahahaha kwann wana haribu sasa
Hahahahahaha..endelea kuomba Mungu humu kuna vijana wema wengi sanaYaani I wish one day mtu aseme will you marry me?? Hivyoo rafiki hebu niombee litokee
Atajichosha bure..,mwambie atafute mtaani hukohukoHahahahahaha..endelea kuomba Mungu humu kuna vijana wema wengi sana
Hahahahaha..wa humu ndio hao wa mitaani...yeye aombe Mungu ..wewe usimvunje nguvu mwenzakoAtajichosha bure..,mwambie atafute mtaani hukohuko
🤣🤣🤣🤣🥴Hahahahaha..wa humu ndio hao wa mitaani...yeye aombe Mungu ..wewe usimvunje nguvu mwenzako
Kama wewe ila sijasema kuwa niwe nawewe hapanaHahahahahaha..endelea kuomba Mungu humu kuna vijana wema wengi sana
Hahahahahaha..mie hapana ..ila wako wenye sifa zaidi omba MunguKama wewe ila sijasema kuwa niwe nawewe hapana
Mwamba kumbe unakula mpepe kama Maghayo The Mongo Khitan Warrior siku moja moja! 😆😆 😆Wana jamii naombeni mumu ambie huyu dada, asi nizoee tafadhali.
Jana Katoka kuni tukana bila kosa, Leo ana nishobokea🤓.
Sasa kaanza kuni tukana.
Niki mjibu, Nisije onekana mi mkorofi🙏🙏, Depal, Mpaji Mungu, Nuzulati, Charles kilian, Hannah, Aaliyyah,
View attachment 2923065
Vina muda sasa, mmmhGood morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Wapo sana wazuri wema na wajasiriHahahahahaha..mie hapana ..ila wako wenye sifa zaidi omba Mungu