Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Kelele nyingiii, serious rship hazielezewi Jf, hizi ni sehemu za mbwembwe na kujifariji baada ya kupigwa matukio ya kutosha.

Atakachofanya huyu ni akipigwa chini hutaona ushuhhda wake wa kupigwa chini.

Ila all in all kwetu wanaume wenye darubini kali mwanamke anae andika andika sana mitandaoni ni wale wasiofugika (much knows).
aloo kwa hiyo dada yetu ni kicheche??
 
Hongera sana.

Ila love is only short lived.

Kuachana.

Lazima mtaachana tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom