Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Good morning ma lovers,

Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.

Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.

Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi

But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!

I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).

Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love

Muwe na Jumapili iliyo njema.
Natamani ingekua ndo mimi nimepata binti kama Leejay49 , Dah ningefurahi mimi

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Time Will tell!!!!
Haijaisha mpka iishe

LOLOTE linaweza kutokea!!!

Btw

All the Best!!!
 
Zingatia kanuni moja tu: No Secret, No lies and respect one another. Kuna wakati utamwona wa kawaida sana lkn usiruhusu hali ya kumzoea. Maisha yenu yatakuwa na furaha daima. Remember love is a Choice NOT feelings. Nakutakieni maisha mema.
Hadi nimetokwa na machozi mkuu... Asante kwa hekima hizi Erasto2020 barikiwa sana🥰🙏
 
Back
Top Bottom