Watu Wana roho mbaya na wivu wakati opportunity kama hizo ximewafikia wakazipiga na chini Sasa hivi wanajua, wewe njoo TU Mimi Bado ni wako lkn Hela sina
Huyu hapa huyu nampenda,, nampenda sijarogwa ndugu yenuuu. Nipolar zangu kwenye daladala nausikia unaimbwa. Basi tufurahi sote hilo la heri ndugu. Kupendwa Raha na kupenda ni Raha zaidi.