Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Sema Leejay49 unaonekana ni binti fulani mzuri, inside and out.
Relationship yenu iwe mfano wa kuigwa.

Watu wakisema sikuhizi hakuna mapenzi ya kweli.

Tuwaoneshe ninyi.
 
Sema Leejay49 unaonekana ni binti fulani mzuri, inside and out.
Relationship yenu iwe mfano wa kuigwa.

Watu wakisema sikuhizi hakuna mapenzi ya kweli.

Tuwaoneshe ninyi.
Amen 🥰🙏... Natumai tutakua mfano wa kuigwa na kila mtu
 
Pole sana mkuu, inaonekana ndo unanifahamu leo.. Pitia nyuzi zangu zote uone halafu fananisha na ulichokiandika
Umeongea kwa uchungu, halafu ukute ni mwanaume hovyoooo
Yes nipo kundi la hovyo na ndio maana nareply thread za hovyo hovyo za Manunga yembe ya Jf.

Yani kupata mtu unaanzisha thread JF huoni ni gume gume lililoshindikana kwa hiyo likitongozwa linaona limetimiza ndoto chap mtandaoni kutangaza.

Meza hizo panadalol hapo.
 
Back
Top Bottom