Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Ukiumaliza huu mwaka hujaja hapa kulialia utakuwa kweli umepata! Ila kaa ukijua cha kuazima hakisitiri matako! Yaani mimi ndiye wa kudanganywa hivyo na kuachwa kwenye mataa? Tutaona kama utafika mbali!!
 
Jamani wewe😂😂😂.. tutafika mbali sana na hauta amini
 
Back
Top Bottom