Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Wanaume hamjawahi kuchoka kukaa sub, imagine kuna mkaka ananitongoza toka 2019🤣🤣🤣🤣 Anasubiri ndoa iyumbe nikampe vya hasira🤣🤣🤣🤣
Kwenye hili nawaaminia🤣
Hahahahahah siku moja utampa tu wala haina tabu...

Mwenyewe kuna Mbususu iko uzunguni nabonga nayo toka Magufuli kaingia madarakani hadi kadedi ila siku likitua Kipawa tu naishi nayo. Wanaume tumeumbiwa subira 😂😂😂
 
Aisee,mwanamke kutongoza si umalaya....ukimpenda mtu mwambie....maana hata kutongozwa na kukubali bado utaitwa malaya cute.....uoga unatuponza....Miaka 2 bila kushtuliwa kiungo!?🤨
Nilifanya hivyo tu my first love, tena sikumtongoza ila nilimwekea mazingira ya kuniapproach kilichonipata Mungu ndo anajua.. Niliweka uzi humu
 
Back
Top Bottom