We kijana Leo umefanya akili iburudike ganzi ilishia njiani alooooo niliona kama nimebeba Jiwe kwenye mapaja sasa bora irudiwe🤣sio kwa kupata penzi jipyaJomba yale maumivu acha bora kutahiriwa mara ya pili aiseee ikifika saa saba usiku usingizi unavapour nakua kama naumwa hv lkn siumwi
Sio kweli kwamba tunatakiwa kupambana na kuepukana na upweke. In case you dont know, there is peace and tranquility in solitude.Good morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Wengine tulishakata tamaa siku nyingi sanaPole sana😂😂
Ila komaa usikate tamaa, kweli kabisa love iz a biurifoooo thing🥰🥰
Kwa kuwa Leejay49 ameamua kulileta hapa jukwaani, limeshakuwa letu soteIli jambo ni lake sisi halituhusu mbn🤣🤣
Kimoyo moyo najiambia labda atabadilika atakua mke mwema lakini wapi.....anaweka status yupo na mtu mwngn hapo mi maumivu yanaanza upya kuna sehemu chini ya moyo panaumaHalafu ukishaipitia hiyo hatua ikaisha unakua huogopi tena kitu😂😂.. Sema tu kuna kahofu flani
I'm always here nafuatilia kila threads, comments na kila kitu chako... Sasa subiri niende ngende nikakuroge tu 😭I mean uje uungane na sisi hapa jukwaani kufurahi
Penzi jipya bana.Good morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Sasa kuna mtu alikuvuta kuingia Jf chief 😄mwenyewe na kipembe mnato umekujaHuu muda si tupo kanisani jaman
Kwanini kukata tamaa rafikiWengine tulishakata tamaa siku nyingi sana
Ila kwer Sasa yeye anshukuru sisi tuna mshauri au tunampongeza😄Kwa kuwa Leejay49 ameamua kulileta hapa jukwaani, limeshakuwa letu sote
Mkuu mbona unanitisha tena😥😥.. Sikuwahi kua na furaha kama niliyonayo sasa for two years, imagine... Nilikua ni mtu wa kua alone kila mahali, nyumbani, kazini cause sio mtu wa kuvibe na marafiki sana.. But now najiona niko na peace of heart ty tofauti na mwanzoSio kweli kwamba tunatakiwa kupambana na kuepukana na upweke. In case you dont know, there is peace and tranquility in solitude.
And i must tell you, there is more happiness in upweke than in relationships. Wait and see!
Kukata tamaa muhimu mwendo wa midabhanguro tuKwanini kukata tamaa rafiki
Kujitetea utasema hvo🤣ukipenda sana unakosa ushirikiano ukipendwa sana unakosa zle heka heka flan hv za kwenye mapenzi kunakua kama kumepoa hvNdio maana nilisema hujawahi kupenda wewe
Hizi vitu huwezi elewa😂
Bora penzi lipoe ama upate hekaheka Mimi niwachane tu ata nikiwa kwenye penzi jipya hua sipendi kupoteza status yakutongoza 🤣🤣hii ndio hekaheka nayoipenda ktk mahusianoKujitetea utasema hvo🤣ukipenda sana unakosa ushirikiano ukipendwa sana unakosa zle heka heka flan hv za kwenye mapenzi kunakua kama kumepoa hv
Huyo jomba aliyekupata ndo yule aliyekuandikia uzi hapa?Good morning ma lovers,