Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Umejaribu kumpenda yule anayekupenda?Kujitetea utasema hvoš¤£ukipenda sana unakosa ushirikiano ukipendwa sana unakosa zle heka heka flan hv za kwenye mapenzi kunakua kama kumepoa hv
Yaani mnapendana wote?