Mkuu hata hapa oneday yes! kwani hata hao wamisiri before walikuwa mabwege kama sisi. Lakini leo si umeona? Na jeshi la EGYPTY ndiyo limechukua nchi.Safi sana hongereni wa mi$ri kwa kua huru'ila hapa kwetu tzania sisi ni waoga sana hatuwezi kupambana kama waarabu wenzetu hawaogopi kufa sisi mhhh!
<br<b>Tayari imekuwa confirmed, kaachia ngazi. Jeshi limechukua uongozi wa nchi! <br />
Source- BBC Kiswahili service</b>
Kakimbilia Shem al shekh' ni somewhere in side Egyptyaende saudia
Breaking news at last Mubarak aachia ngazi , ajiuzulu yes they can!!
Rais Mubarak wa Misiri teyari kesha jiuzulu
Source- Al-jazila tv live
Ila jamaa wa-egypt wamefanya kazi kubwa mpaka kimeeleweka.Wangepoa kidogo jamaa lisingeondoka.Tuna la kujifunza hapo!
Jamaa alikuwa ansikilizia lakini yamemfika, na sasa mbaya zaidi ana damu ya watu kadhaa mikononi. Ila Africa kiboko mtu ana 82 bano alikuwa kin'gan'ganizi tu!