Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Juzi hapa zenji serikali ilipitosha notes wale walio panga zile nyumba za serikali wapishe ili zijengwe upya kisasa zaidi katika maeneo Fulani cha kushangaza watu wakagoma eti twende wap, sasa unajiuliza serikali Ina nia njema tu hata wasipo kurudisha sio kwako huna haki ya kugoma
 
Ulimbukeni na kutokutaka kuwajibika
 
Sio vizuri kuzubaishwa na macho ya watu ukasahau kwamba kuna ambaye anaona ya sirini.

Hakuna Furaha na Amani ya kweli kwenye udhalimu.

WAGALATIA 6
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
 
Hao wanaosema hela iwe inatafutwa kihalali au la ndio dudubaya anaishia kusema watch your back.
 
Ni changamoto sana. Mategemeo yanakuwa tofauti na uhalisia. Masikini wanazidi kuwa masikini na matajiri ambao ni wachache wanazidi kuwa matajiri hasa.

Muhimu ni kwamba ikitokea umepata chance nzuri ya kupata hesa usiichezee, weka mipango vizuri ya maendeleo. Remember opportunity lost will never come twice.
 
Sahiihi kabisa

Mambo ya ku laumu na kudhani kuwa kuna furaha kati kufanya kitu sahihi ni kujidanganya tu.

Hawa wanaosema ni wema, wakipata nafasi wanasahau katika wema.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…