Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

That's why unapaswa kuto ishi kwa expectations, Ishi kutokana na kilicho mbele yako. Sometimes it's not our fault but those who led us here. We might be jus t outcomes of a system built by those before us
Plans na matarajio mengi huleta stress tupu hasa Kwa makapuku. Very true, nitaishi Kwa kinachopatikana kwa mustakabali wa Afya ya akili. Ndio maana unakutana na mtu hujamkosea chochote lkn anakukasirikia tu!
 
Kijana wewe panga ku Hustle maisha yako yote al mradi afya ni njema.
Babu wa Loliondo alitoboa akiwa mstaafu at 65.
Dogo 30 ni michache Sana ila hakikisha Una family wanapata mahitaji muhimu bila stress.
 
Hongera sana kiongozi

Mafanikio ni juhudi na bahati, lakini pia kudra za mwenyezi Mungu. Endelea kupambana kiongozi
 
On point, wahindi wengi bongo wanazikusanya pesa tu halafu wanaenda kununua mijengo US, UK na Canada. wanaojenga bongo ni wachache sana. Na wahindi wengi wana passport na uraia wa nchi mbili hata 3. Mhindi yupo radhi kukaa kwenye maghorofa NHC ya upanga kama njiwa, hata miaka 30 ili tu anunue nyumba ughaibuni na baada ya hio miaka anaishia zake huko US, UK na Canada. Mie nilipofika 30+ na nakuona maisha ya bongo sio kabisa, nillishia zangu US, kutoboa bongo bila connection ya kua chawa wa CCM ni ngumu sana.
 
How did you get there mkuu, nipe ABC na unapiga issue gani USA.. Hata kwa pm kama hutojali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…