HTML:
Hivi yale magari ya washawasha yako mangapi nchi nzima? maana ukiyalipua hayo, polisi hawana nguvu tena (just thinking twice)[/QUOT
Wanapoteza pesa nyingi kununua magari ya maji ya kuwasha badala ya kununa magari ya zimamoto!
Elewa topic kwanza mkuu...
Sijamfananisha na Mtikila, wala sijasema yeye ni maarufu kuliko mtu yeyote Tanzania
Unaelewa maana ya umaarufu?
Kuna watanzania wangapi leo wako rumande? au wanasafirishwa kwenda mahakamani? au wamesomewa mashitaka?
Naomba utumia kamusi yako kuangalia maana ya neno 'umaarufu'...
Nilianza kumsikia kwa mbali alipochaguliwa kuwa mbunge Hai mwaka 2000
Alipata umaarufu zaidi alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA (2004?)
Alipata umaarufu sana alipogombea uraisi mwaka 2005, zaidi kwa kuanzisha styles za helkopta na magwanda, ambazo ni maarufu hadi leo
Alikuja kuvuma tena sana wakati wa operesheni sangara.
Katika uchaguzi uliopita, hakuvuma sana (kwa sababu ya kuwepo Slaa katika uraisi?)
Alikuja kuvuma zaidi wakati wa kuundwa kwa kambi ya upinzani
Aliendelea kuwa midomoni mwa watanzania katika matukio tofauti kwa kiwango tofauti hadi Ijumaa tarehe 3 June 2011
Kwa siku tatu mfululizo Kuanzia Ijumaa jioni, hadi leo asubuhi, Freeman Aikaeli Mbowe amengeza mstari mwingine katika historia yake ya kupigania wanyonge Tanzania. Mstari ambao kwa wanaofuatilia vyombo vya habari na kusikiliza maoni ya watu ya kisiasa, bila shaka unastahili kuandikwa bolded zaidi, na kwa font kubwa zaidi, angalau kuliko mistari yote iliyowahi kuandikwa siku ya nyuma...
Wengine tuko kwenye vita ya kuikomboa nchi yetu. Kulala sakafuni ni jambo la kawaida sana, tunalitegemea na tumeshalizoea. Heshima unaipata kwa watu wanaokuheshimu. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kukocholewa na kichaa na kukocholewa na mtu mwenye akili timamu analujua analolifanya. Na kwa taarifa yako CCM inahusika sana na hili jambo kwa kuingilia kazi za mahakama. Order ya kukamatwa Mbowe imetoka Lumumba.
Kada wa CCM kuwapigia kura wasiojua kuandika..., Mawakala kuhongwa kukubali matokeo feki, Maboksi ya majimbo yenye ushindi kusafirishwa kwenda kuhesabiwa kwenye majimbo mengine....Napenda unijibu haya yafuatayo kwa ufasaha :
1. Kura zinaibwaje ?
Msimazi wa uchaguzi kutangaza matokeo bila kuhesabu kura. Mfano Sumbawanga mjini, Shinyanga mjini, Vunjo etc. etc.2. Kura zinachakachuliwaje ?
Waulize watu wa Nyamagana, Ubungo, Kawe, Arusha mjini, etc watakuambia.3. Kura zinalindwaje ?
wee unapimaje umaarufu,mbona alikua rumande sasa amepiganiaje hiyo haki,na kama ni hivyo kuwekwa rumande ndio umaarufu basi mch. mtikila ndie jembe zaidi kuliko yoyote tanzani.
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!
muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!
guess what??
nani asingekaa?? Msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! You have to think twice!
Muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!
Guess what??
Natumaini ukujua kama nawewe umeongeza title ya Mh mbowe kwa ulichopost.Ata Yuda alimtangaza Yesu kwa alilofanya .Hili andiko litimie Mh mbowe kafanyiwa vile .Mzee naona umepost,na inasomeka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! vipi unatizama tumechangia wangapi huu upupu?
wee unapimaje umaarufu,mbona alikua rumande sasa amepiganiaje hiyo haki,na kama ni hivyo kuwekwa rumande ndio umaarufu basi mch. mtikila ndie jembe zaidi kuliko yoyote tanzani.
Nakubaliana na wewe Mkuu, CCM hawasomi alama za nyakati, wanatumia vyombo vya dola wakidhani wanammaliza kisiasa CDM kumbe wanapandisha chati........Peoples'........!!!