Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Hatimaye Mbowe apewa dhamana

<p>
waswahili tunasema utabaki na labda. CDM kuiona ikulu bado ni ndogo ya zuzu.
</p>
<p>&nbsp;</p>
ccm mwenye jina mr ni jk wengine mrs,kama waliwa kidogo utakuwaje mr?jk endelea kuwala kidogo harafu vyeo
 
Wanadanganywa, wanadanganyika. ndio maana mara mgogoro uvccm na imara wanatumiwa na cdm kuvuruga amani.
kwani kabila kubwa la wakazi wa Arusha ni wafugaji. kabila hili ni wazi limekosa elimu kwa miaka mingi sasa. lkn siasa za tz sasa zimehamia huko. CDM yenye ngome kwa sasa. nadhani imefika wakati cdm wawe na mkakati imara wa kuwasomesha ndugu zetu waondokane na sisasa hizi
hiyo ni kazi ya lowassa, tena walimvika na uchifu kabisa

BTW, mbunge wa ngorongoro anatoka chama ipi?
 
wanaongoza nchi kwa mazoea ya siasa za chama kimoja, sasa ndiyo matokeo yake haya - kujichanganya changanya kwa mihimili hii mitatu.

sasa hivi chadema ina support kubwa ya wananchi - na hii kamata kamata ndiyo inawamaliza CCM kabisa - "killing themselves softly"

You are very right. I like your comment!!!!! waache waendelee kufanya hivyo hivyo maana siku hazigandi.
 
Wanadanganywa, wanadanganyika. ndio maana mara mgogoro uvccm na imara wanatumiwa na cdm kuvuruga amani.
kwani kabila kubwa la wakazi wa Arusha ni wafugaji. kabila hili ni wazi limekosa elimu kwa miaka mingi sasa. lkn siasa za tz sasa zimehamia huko. CDM yenye ngome kwa sasa. nadhani imefika wakati cdm wawe na mkakati imara wa kuwasomesha ndugu zetu waondokane na sisasa hizi
unaposema wanatumiwa na CDM unaweza kuthibitisha?weka ushahidi hapa............suala la wamasai kukosa elimu si tatizo la wamasai tu ni la makabila mengi sana hapa nchini.matatizo ya kisiasa yaliyopo ya arusha hayana uhusiano na wamasai kutokuwa na elimu labda utoe ufafanuzi wa kina.
 
Wanadanganywa, wanadanganyika. ndio maana mara mgogoro uvccm na imara wanatumiwa na cdm kuvuruga amani.
kwani kabila kubwa la wakazi wa Arusha ni wafugaji. kabila hili ni wazi limekosa elimu kwa miaka mingi sasa. lkn siasa za tz sasa zimehamia huko. CDM yenye ngome kwa sasa. nadhani imefika wakati cdm wawe na mkakati imara wa kuwasomesha ndugu zetu waondokane na sisasa hizi

Kwako wewe kabila lenye elimu ni lipi? na elimu unayoongelea ni ipi? Na kama kweli wewe ni mwanaume kaongelee hii kauli mjini Arusha ndio utaona hawa wamasai unaowaita 'hawana elimu' watakunya kitu gani?
 
wee unapimaje umaarufu,mbona alikua rumande sasa amepiganiaje hiyo haki,na kama ni hivyo kuwekwa rumande ndio umaarufu basi mch. mtikila ndie jembe zaidi kuliko yoyote tanzani.

We mjima kwelikweli, yaani unabisha kwamba FAM hajaongeza umaarufu kwa hizi siku tatu kwa vile alikuwa lumande. Fuatilia umaarufu wa Nelson Mandela ulipatikanaje kama si kwa sababu alifungwa na wazungu! We umeishia darasa la ngapi vile!?
 
kama mnahamasishana kudharau mamlaka zilizowekwa kikatiba na kujiita wapambanaji tuwaeleweje?means hamfai kuwa viongozi na hata kufikiriwa kuwa watawala wa nchi hii. Kwa hili chadema mmepotea.hivi kwa akili zako timamu unamshabikia mtua liyedharau mahakama?anatufundisha nini yeye kama kiongozi?nchi hii ina mihimili mitatu ya dola lakini sasa imefikia wakati muhimili mmoja unaona kuwa wenyewe ndio uko sahihi always na wengine wanaungilia each time unapotokea mgongano wa kimaslahi.LOST
 
Wanadanganywa, wanadanganyika. ndio maana mara mgogoro uvccm na imara wanatumiwa na cdm kuvuruga amani.
kwani kabila kubwa la wakazi wa Arusha ni wafugaji. kabila hili ni wazi limekosa elimu kwa miaka mingi sasa. lkn siasa za tz sasa zimehamia huko. CDM yenye ngome kwa sasa. nadhani imefika wakati cdm wawe na mkakati imara wa kuwasomesha ndugu zetu waondokane na sisasa hizi

Malaria Sugu,
Kumbe na wewe una akili kama za Nape. Si kazi ya CDM kuwasomesha wamasai na makabila mengine pia. Hiyo ni kazi ya serikali iliyomadarakani iwe ya CCM, CDM au chama kingine chochote. Kazi ya CDM na vyama vingine vya upinzani ni kuwatetea watanzania wa Makabila yote wakiwemo na wamasai. Naona sasa unaanza kuwa Malaria dhaifu.
 
  • Nilianza kumsikia kwa mbali alipochaguliwa kuwa mbunge Hai mwaka 2000

    Alipata umaarufu zaidi alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA (2004?)

    Alipata umaarufu sana alipogombea uraisi mwaka 2005, zaidi kwa kuanzisha styles za helkopta na magwanda, ambazo ni maarufu hadi leo

    Alikuja kuvuma tena sana wakati wa operesheni sangara.

    Katika uchaguzi uliopita, hakuvuma sana (kwa sababu ya kuwepo Slaa katika uraisi?)

    Alikuja kuvuma zaidi wakati wa kuundwa kwa kambi ya upinzani

    Aliendelea kuwa midomoni mwa watanzania katika matukio tofauti kwa kiwango tofauti hadi Ijumaa tarehe 3 June 2011

    Kwa siku tatu mfululizo Kuanzia Ijumaa jioni, hadi leo asubuhi, Freeman Aikaeli Mbowe amengeza mstari mwingine katika historia yake ya kupigania wanyonge Tanzania. Mstari ambao kwa wanaofuatilia vyombo vya habari na kusikiliza maoni ya watu ya kisiasa, bila shaka unastahili kuandikwa bolded zaidi, na kwa font kubwa zaidi, angalau kuliko mistari yote iliyowahi kuandikwa siku ya nyuma...

    Alipo walazimisha CHADEMA kununua magari yake chakavu bila hata kufuata utaratibu
  • Alipokwepa kodi kwa kutokada kodi kwenye mishahara ya wafanya kazi wake
  • Alipo mlinda na kumtetea Slaaa achukue mke wa mtu bila idhini yake...............endeleeni wakuu
 
Mbowe alisha sema haendi mahakamani ulitaka polisi wamrambe miguu ndio aende? Hata hivyo kwa hili hawana kosa kwani wao walikua wanatekeleza wito wa mahakama
 
Heshima kwako Mimibaba.

Ndugu yangu Mwl wa Hesabu kwa viwango vya kimaitaifa soko la ajira la Afrika Mashariki liko wazi lakini sidhani kama unaweza kupata kazi Rwanda,kenya au Uganda kwasababu unachokitetea hakika ni sehemu ya upumbavu ninaotegemea kukutananao sokoni kwa wasukuma mkokote,wacheza bao au wapiga ramli.Nakushauri endelea kufundisha hesabu shule za kata.

Thamks for the observation Mkuu Ngogo.
JF is degenerating into a third class caliber as far as thinkers are concerned.
Kuna wanaoenda sambamba na Faizafoxy kwa mipasho n na bibie anawapa haki yao, kuna wanaodharau hata uwepo wao nchini, wao ni CDM tu, hata katika upuuzi.
Hawa ndo naungana na wewe kuwaita wasukuma mikikoteni au ma-coconut.
Nothing good can come out of them.
 
We mjima kwelikweli, yaani unabisha kwamba FAM hajaongeza umaarufu kwa hizi siku tatu kwa vile alikuwa lumande. Fuatilia umaarufu wa Nelson Mandela ulipatikanaje kama si kwa sababu alifungwa na wazungu! We umeishia darasa la ngapi vile!?

Mandela Vs Mbowe, hapo ni watu wawili tofauti kabisa na huwezi ku compare kwa chochote kati ya watu hao. Nawe umeishia darasa la ngapi vile ?
 
Back
Top Bottom