Sobangeja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 401
- 354
Inasikitisha! inashangaza! Hekaheka zote zilikuwa za nini? Mambo ya nchi hii ni ya ajabu kweli, mtu anaandamwa na vyombo vya dora kwa nguvu nyingi zaidi utafikiri marehemu Osama!! Inatia aibu kwa Hakimu Magesa na watawala kwa vitendo vya kudumaza demokrasia."They are often thinking in the box only" Hatutafika kama tabia hii itaendelea. Vyama vyote ni vyetu,vipo kwa ajili ya watanzania.Kama mmezidiwa kwa sera endeleeni kujipanga zaidi.Mmeshajivua Magamba! na bado tatizo lipo! basi fanyeni kujichuna magamba ili mbaki na nyama tu!!!!!!!! muone tena kuna tija au la mwendele na hatua nyingine.Nakutakia maisha marefu Freman Mbowe katika hekaheka na misukosuko unayoipata.Ni wachache wanaoweza kuthubutu.Umethubutu!!!!!!!!!!:majani7: