inasikitisha kuona tuna rais ambaye haendeshi nchi kwa sheria , kama kweli masauni kagushi yeye ndio angehakikisha sheria inafuata mkondo lkn haishangazi hata mafisadi waliokwapua bot c'aliwapa muda warudishe fedha halafu akacheka, ila kumbuka ukiua kwa upnga nawewe kifo chako ni upanga huohuo .
Jk tangu awali alijua kuwa masauni aligushi vyeti lakini alimpa uenyekiti huo ili wamtumie watakavyo. Mpango mzima ni kuwa ajue kuwa wao wanajua kuwa amegushi vyeti hivyo yeye akose ujasiri wa kusimamia kile anachoamini.ilifika mahali masauni akakataa kuburuzwa ndiyo ugomvi ulipoanzia.wote masauni na waliompa kazi ni wahalifu tu wanatakiwa kushitakiwa. Jk anashangaza kweli masauni ametenda kosa la jinai lakini yeye anasema atampa kazi nyingine, hivi kweli kikwete anajua maana ya utawala wa sheria? Ndiyo maana ana chukuwa jukumu la mahakama kuamua kuwa mgomo wa tucta ni batili, na ndiyo maana anadharau hata maamuzi ya mahakama juu ya takrima kuwa ni rushwa. Watanzania tuko motoni kwa kutawaliwa na rais asiyeheshimu utawala wa sheria
Huyu kijana napenda alivyo na mmisimamo yake lakini kwa kweli mwanzoni alipojiunga
na hii uvccm nililaalama sana kwamba amewekwa kwa makusudi mule ndani bayazaidi
yuko radhi kumwaga damu kama uko against na msalahi ya babake....
Hivi sasa ni wengi sana wataongea kuhusu kujiuzulu kwa masauni lakini ukweli utabaki
RIDHIWANI akishirikiana na BENO MALISA walijitahidi kufanya uchafu na upumbavu wao
huko iringa kwa garama zot ehata kuhonga wenyeviti wamtimue huyu bwana
hakika naweza kusema aikuwa kitu cha kushangaza kuona kikwete akisema masauni
kajimaliza mwenyewe nasema hivi nikiwa na maana wangapi wenmye makosa kama yake
bungeni kuna mawaziri vihiyo walioteuliwa na huyu huyu bwana kama si Bw msemakweli
kutufungua macho sijui tungejuaje tuna mawaziri wabunge vihiyo....
Mh rais bado nasema masauni na wenzake walikubana vilivyo na mikataba yenu
ya ul;aji wa kipuuzi UVCCM na swala la kumuondoa ni kutokana na kuwa kinyume na msalahi\
yenu kutaka kuuza ama kuangamiza kila kilicho mbele yenu
Ninachosema haki ya mtu aipotei tusubiri yapo mengi yanaibuka na yataendela kuibuka
SIKUSHANGA KUSIKIA MAKAMBA AKISEMA MASAUNI AJIUZULKU ATTI KATUMWA NA DOLA
HUU NI UPUUZI NILISHASEMA HUYU BABU ATAJIBU DHAMBI ZA WENGI SAA NA NAMWONEA
HURUMA NA UMSKINI WAKE....ANYWAY.....
INNALILAH NA MASWABRINA....KILA MWENYE KUSUBIRI YU PAMOJA NA MWENYEZI MUNGU
MODS kama si ya kweli hayo tunaomba mfanye linalostahili sasa.........Plzzzzzzzzzzzzzzzznimepata fununu kuwa Malaria Sugu ni ndugu wa mmojawapo wa MODS hivyo kupigwa Bann ni ndoto.
Ni kweli hakuna haja ya kutafuta mchawi kuhusu jambo hili lakini inatubidi kujiuliza maswali kadha.
Kwanza , kulikuwa na sababu gani kwa katibu mkuu (CCM) kusema kujiuzulu kwa Masauni haikutokana na kugushi/kudanganya umri wake wakati hiyo ndiyo sababu kuu ambayo ilikuwa inajulikana kwa viongozi wakuu wa CCM na Mwenyekiti ame confirm hilo.
Pili, kwa system yetu (shule, vyombo vya dola, kamati ya ulinzi na usalama (ya CCM), ndugu, jamaa na marafiki) kushindwa kujua miaka halisi ya huyu kijana. Katika mchakato wa kupata mwenyekiti wa Vijana, issue ya age ilitawala sana. Sasa inakuaje watu wote walishindwa kulijua hilo na kuacha mpaka inakuwa issue miaka miwili ijayo.
Yaani, mimi sijawahi kulalamika kuhusu huu ugonjwa wa Malaria Sugu lakini nadhani sasa imefika kikomo.
Ni jambo la msingi kabisa, hata kama mtu si muandishi, kufahamu kuwa kichwa cha habari ni utangulizi wa habari yenyewe; lazima kuwe na muendelezo na uhusiano!
Kwa hiyo Ridhwani Kikwete kaitisha kamati kuu ya CCM, au?
MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete, sasa anatajwa waziwazi na kuhusishwa na mpango wa mapinduzi ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Tanzania Daima Jumatano imeelezwa. Baadhi ya vyanzo vya habari kutoka ndani ya UVCCM vimeliambia gazeti hili kuwa mtoto huyo ndiye anayevuruga umoja huo.
Wakati huohuo, Rais Kikwete amelazimika kuitisha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya dharura kesho (leo), pamoja na mambo mengine, kujadili kashfa na mzozo ulioibuka ndani ya UVCCM.
Jk tangu awali alijua kuwa masauni aligushi vyeti lakini alimpa uenyekiti huo ili wamtumie watakavyo. Mpango mzima ni kuwa ajue kuwa wao wanajua kuwa amegushi vyeti hivyo yeye akose ujasiri wa kusimamia kile anachoamini.ilifika mahali masauni akakataa kuburuzwa ndiyo ugomvi ulipoanzia.wote masauni na waliompa kazi ni wahalifu tu wanatakiwa kushitakiwa. Jk anashangaza kweli masauni ametenda kosa la jinai lakini yeye anasema atampa kazi nyingine, hivi kweli kikwete anajua maana ya utawala wa sheria? Ndiyo maana ana chukuwa jukumu la mahakama kuamua kuwa mgomo wa tucta ni batili, na ndiyo maana anadharau hata maamuzi ya mahakama juu ya takrima kuwa ni rushwa. Watanzania tuko motoni kwa kutawaliwa na rais asiyeheshimu utawala wa sheria
sasa kama Masauni ameghushi umri matokeo yake ni nini:
sasa kama Masauni ameghushi umri matokeo yake ni nini:
Mkuu umejiandikisha mwaka huu? karibu mpiga kuralabda mjiandikishe kama mimi tumnyime kura. Mimi nimejiandikisha mwaka huu kwa ajiri ya kuwanyima kura zangu