Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Fede Masolwa, mpaka hapa tulipofika, kuna lolote umeweza kujifunza?

Unaweza tu kujibu swali hili ukipenda, ila pole kwa kushushuliwa.

Hayo ndiyo mavuno unayopata kwa kukurupuka ovyo.

Mabadiliko hayahitaji maneno wala kusubiri maneno.

Tsunami haizuiwi kwa mikono, maneno na mipasho.
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana wazungusha mikono juu wameiba nyaya wameenda kuuza kwenye screpa, au kwa sababu sumaye hakuwepo wa kubusti engene. Zipo tetesi za akina mama kuporwa simu na kuchaniwa nguo pia.
 
Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi

Leo watamlaza kwenye chaji usiku kucha ili asubuhi awe na moto wa kutosha. Kwa nini wasimnunulie power bank????
 
Last edited by a moderator:
Tunduma nasikia ilikuwa aibu balaa...Mbowe alimshikilia mwari wake mkono huku akijaribu kuwatuliza wana Tunduma ambao wanekasirishwa na kuwaletea mgombea mchovu...

Yaani naambiwa ni gumzo mji mzima wa Tunduma...wamejione ukiwa ilivyomagumashi...

Usikurupuke bwana. Sahihisha kwanza hapo kwenye red.
 
Bila ushabiki, Lowassa ni mgonjwa.
 
nimeona na kusikia channel 10 vyombo vimebuma kesho saa tatu ataongea , ni kweli kwa umri na afya yake na kwa ukubwa wa mkutano hangeweza kuhutubia bila vyombo. Huu uzi uunganishwe kwenye uzi wa mkutano tusijaze seva

Haaaa Haaaa!
 
Sasa unataka kusema nini?
Unajua ni gharama kiasi gani wameingia kupoteza mkutano wa leo na kuurudia kesho?
Acha utaahira tumia akili hata ya kuvalia nguo.

Akili ya kuvalia nguo inanielekeza kwamba jamaa alijichafua kama kawaida yake. Hivyo kwa hofu ya kipindupindu wakaamua kuahilisha mkutano ili akasafishwe.
 
mie nimeshangaa vipaza sauti vimekufa wakati mbowe kawatangazia mkutano kesho.
 
Acha Mambo Yako Cjawai Ona Wafanya Biashara Wa Tunduma Wakifunga Maduka Lakn Leo Wamesalim Amri Kwa Hiar Na Kuacha Kaz Zao Viva Lowasa
 
Back
Top Bottom