moko wa miujiza
Member
- Aug 20, 2014
- 66
- 30
Mgombea wa chadema unavunja moyo sana lini utaweza kuhutubia watu tukufurahie raid wetu
Bila ushabiki, Lowassa ni mgonjwa.
Yule mshairi wa Mwanza ndo alitaka kumuua kwa mineno mizito. Naye kazidi, aliangalia ili iweje huo mkutano wa CCM? Presha ikapanda kama late Emmanuel kule Masasi. Mzee anaumwa, amesema mshairi.
Kura ni kwa lowasa tu na UKAWA
By HALELUYA MOSHI:
Sio kweli jaman!
Lowasa kahutubia na kashasepa! Idawa alikuwa anawavuta akili tangu asubuh hapa ili jioni awavunje moyo! HALELUYA MOSHI njoo huku,
Mzee yuko poa kabisa!
chief, sisi wote tumetambua what you're trying to drive at.
listen, chief, and listen good. priority ya kwanza kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni kuiondoa CCM madarakani. priority ya pili ni hiyo hiyo. na ya tatu, ya nne, nk, nk.
whether UKAWA na mgombea wao watafaa kama mbadala ama la, that's only a side show to the bigger picture of kicking the monster off the corridors of power. period.
Pumbavu wote mnaompinga lowassa.sura zenu zote kama smigo
Usitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza kabisaaaaaaa
Hapa niko guest nasubilia kesho Saa 3
Sasa tujadili nini?? Kwani chombo kinapotaka kuharibika huwa kinasema?
ukifa kwa mfano,,,, utamlaumu nani???
wewe n kada
Nimeangalia ITV, wanaTUNDUMA wakisema, ahutubie, asihutubie, kura zao anazo!
LOWASSA! WATANZANIA WAMEKUPA DHAMANA YA KUWAONGOZA, USIWAANGUSHE!
Mbowe kaongea kwa chombo gani? pia dakika alizoongea mbowe...Lowassa zisingemtosha?
Tumia akili kidogo, hivi kuharibika kwa vifaa unashangaa?? Mbona chopa ilisababisha vifo vya wapenzi watu aina Deo na wenzake ilikuwa nzima kabisa wakati inaondoka kisha ila ikapata hitilafu na kusababisha maafa??
Leo watamlaza kwenye chaji usiku kucha ili asubuhi awe na moto wa kutosha. Kwa nini wasimnunulie power bank????