funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,535
- 31,199
Kawa Lipo?wakati unaambiwa tatizo ni vyombo mbona kahutubia mkutano Minne jana hiyohiyo
Kama alichoka si mseme!
Kawa Lipo?wakati unaambiwa tatizo ni vyombo mbona kahutubia mkutano Minne jana hiyohiyo
Kama alichoka si mseme!
Mbowe kaongea kwa chombo gani? pia dakika alizoongea mbowe...Lowassa zisingemtosha?
You don't have any facts.
chief, sisi wote tumetambua what you're trying to drive at.
listen, chief, and listen good. priority ya kwanza kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni kuiondoa CCM madarakani. priority ya pili ni hiyo hiyo. na ya tatu, ya nne, nk, nk.
whether UKAWA na mgombea wao watafaa kama mbadala ama la, that's only a side show to the bigger picture of kicking the monster off the corridors of power. period.
We mwehu huwezi kukurupuka yu eti umampa aongee tatzo elimu protocol haziko hivyo we uende usiende si tushaamua saa tatu tutakuwa hapo na utaona kama sikusikia
Guest? Unalala Guest house ili kutengeneza Mafuriko na kuvunja rekodi!!
Mkiambiwa mnasafirisha Watu mnakataa haya sasa mmejiumbua wenyewe Aibu
Chombo kuharibika ni suala la kiufundi na ni la kawaida sababu lowasa si fundi.
Mbona nyie mnakufa kwa michopa yenu mibovu kwani huo ni udhaifu kwa ccm au ni jambo la ufundi!? Fikilia kwa kutumia kichwa siyo unafikiri kwa kutumia mnduku
Bora ingekua nukta ila ni EMPTY!!
Kichwa Kikubwa Akili Nukta